Zitto kuvuliwa nafasi ya unaibu kiongozi kambi ya Upinzani leo?

Zitto keshakata rufaa baraza kuu na dalili za mwanzo zinaonyesha Chadema hakuna mwenye ubavu wa kupinga hoja nzito zilizomo kwenye waraka wa rufaa.
Vipi ni mbinu yako ili kuona Zitto anaharibikiwa kama nyinyi masalia mlivhoharibikiwa? maana nasikia yeye ndo aliwashawishi af mlipotoswa yeye akajifanya hawafahamu
 
Zito atakuwa wa mwisho kutoka chadema nyie angaikeni tu
MSUKULE

Mwenzangu ni msukule!
Anawaza kimsukule!
Anaandika ili ale!
Watoto wasipige kelele!
Ma------ni ana chale!
Zilizomgeuza akili!
Anawaza kwa vidole!
Kamanda siwe mpole!

Kuna viwango vya misukule!
Hiki ndio cha kilele!
Shime shime ishimile!
Tuunusuru msukule!
 
MSUKULE

Mwenzangu ni msukule!
Anawaza kimsukule!
Anaandika ili ale!
Watoto wasipige kelele!
Ma------ni ana chale!
Zilizomgeuza akili!
Anawaza kwa vidole!
Kamanda siwe mpole!

Kuna viwango vya misukule!
Hiki ndio cha kilele!
Shime shime ishimile!
Tuunusuru msukule!

Haka kashairi kametulia
 
tumechoka kumjadili zitto humu. mvueni uongozi kisha mlisheni sumu afe.

Mmechoka wewe na nani? kama mmechoka au umechoka kaa kimya ambao hawajachoka waendelee na mijadala yao halazimishwi mtu hapa.
Waliochoka walisha achia ngazi kitambo wamebaki kuwa watazamaji.
Lakini mmewahi kuchelewa picha la season dio kwanza trela.
 
tumechoka kumjadili zitto humu. mvueni uongozi kisha mlisheni sumu afe.

Hatumjadili yeye....tunajadili u.p.um.b.a.v.u wake tu. Hebu ona hili na bado anang'ang'ania chama hicho: 'Vyama kutokukaguliwa mahesabu, kwamba nilipaswa 'kuwatonya' kwanza viongozi wa chama ili wajiandae. Kwamba kutokuwatonya kumekidhalilisha chama' - zitto kabwe
 
Akivuliwa itakuwa jambo jema sana, maana kwenye nyadhifa kama hizo hahitajiki mtu anayetiliwa shaka na jamii
 
Back
Top Bottom