Zitto kuvuliwa nafasi ya unaibu kiongozi kambi ya Upinzani leo?

Abdull Kazi

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
317
246
Leo saa saba mchana wabunge wote wa CHADEMA watakutana kwa ajili ya kikao maalum kwao..miongoni mwa mambo wanayotaraji kujadili ni pamoja na utekelezaji wa uamuzi wa kamati kuu ya Chama juu ya kumvua Zitto Kabwe nafasi unaibu kiongozi wa kambi ya upinzani, taarifa ya kikao hicho imetolewa na katibu wa wabunge wa CHADEMA David Silinde
 
MAAMUZI YA KAMATI KUU lazima yazingatiwe , ATAKAYEPUUZA KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU .
 
Wewe unajuaje kuwa baba yako sio mchaga wakati mama yako alikuwa kiguu na njia? Huwezi jua kuwa huyo baba yako ------ kasingiziwa tuu kwa vile alikuwa na duka jirani?
Acheni ukabila nyie mtawakana mpaka ndugu zenu.
NIMECHEKA MPAKA BASI ! umemkomesha sana huyo mburula .
 
Leo saa saba mchana wabunge wote wa Chadema watakutana kwa ajili ya kikao maalum kwao..miongoni mwa mambo wanayotaraji kujadili ni pamoja na utekelezaji wa uamuzi wa kamati kuu ya Chama juu ya kumvua Zitto Kabwe nafasi unaibu kiongozi wa ambi y upinzani, taarifa ya kikao hch imetolewa na katibu wa wabunge wa Chadema David Silinde

We akili yako ni ndogo sana! Tetesi inatoka wapi? Kumuondoa Zitto katika nafasi yake ya Unaibu Kiongozi wa Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni hilo ni Agizo na lazima litekeleze halina cha cha tetesi! Acha unafiki
 
.......
Post deleted PAW

MSUKULE

Mwenzangu ni msukule!
Anawaza kimsukule!
Anaandika ili ale!
Watoto wasipige kelele!
Ma------ni ana chale!
Zilizomgeuza akili!
Anawaza kwa vidole!
Kamanda siwe mpole!

Kuna viwango vya misukule!
Hiki ndio cha kilele!
Shime shime ishimile!
Tuunusuru msukule!
 
Dalili zote zinaonesha magwanda hawana ubavu kumfukuza Zitto na vyeo vyake vyote atarudishiwa.

Kawashinda mbinu.
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom