Kuna mambo mawili mnatakiwa kuyajua hapa....CDM wamecheza jambo kwa akili sana......na sio CDM wanaoumia hapa, ila ni
Zitto ndio yuko kwenye wakati mgumu.
1.CDM hawawezi kumpa
Zitto barua, wao kwa kusema tumemfukuza, imetosha kumuweka
Zitto kwatika dilemma, kwa kuwa, mwenyewe
Zitto yuko kwenye wakati mgumu kukaa bungeni kwa tiketi ya chama kilichokwisha mfukuza kwa maneno.
2.Inaonyesha kama CDM walishasoma mchezo wa
Zitto, kama wasingemuwahi...lipo jambo angewawahi, maana hamna ajuae kuwa lile alilopanga kulifanya mwezi huu lilikuwa nini, so CDM wameamua kumpa mtihani wa kufanya maamuzi ya hatma yake mwenyewe.
Mwisho kabisa ni kwamba kwa CDM kusema tumemfukuza, na hali aliyonayo
Zitto, yeye anataka apewe barua ili aende ACT kwa kusema "si nilifukuzwa na CDM" na wakati huo huo CDM hawatatoa barua kwa kuwa bunge lenyewe limeshaisha, ili kama kwa kuambia hivyo
Zitto mwenyewe akiondoka kwenda ACT, CDM watasema "mmeona?? yeye ndio alitengeneza ACT akiwa ndani ya CDM, msaliti huyo"" na hii kete ndio ITAMUUA ZITO, kwa kuwa atakuwa ameprove yeye ni msaliti...........tusubili tuone hii sinema