Zitto kutimkia ACT-Tanzania?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Lisemwalo lipo kama halipo laja huu ni msemo wa wahenga ila unamaana kubwa sana.

Baada ya hisia sasa imekuwa kweli Zitto kabwe rasmi ahamia ACT-Tanzania, Mwigamba ampokea kwa mbwembwe.
===========================


Chanzo: Mwananchi
 
Chadema walishatimiza haki yao kikatiba juu ya zzk naye atimize haki yake ya kisaliti, nabaada ya zzk kujiunga na ACT, binafsi naamini hakuna mtu atakuja hapa na mapambio na mbwembwe na kumpamba tena zito. Sababu utakuwa mwanzo na mwisho wa kujidhihilisha how 100% he contributed on the birth of ACT .
Big up CHADEMA kwa kuliona mapema jinamizi ambalo kwabaadaye linge tula likatumaliza
 
Chadema Zitto anawatesa sana. Kila siku mnamfuatilia, mmeacha kufuatilia mambo ya mbowe na slaa waliopoteza mvuto mnahangaika na zitto. Zitto anawapa presha sana
 
sijui ataacha kuvaa magwanda maana si siri yalikuwa yanampendeza sana na aliyapenda japo sasa tumekuja kuona kumbe hakuwa anayatendea haki
 
sijui ataacha kuvaa magwanda maana si siri yalikuwa yanampendeza sana na aliyapenda japo sasa tumekuja kuona kumbe hakuwa anayatendea haki

Chadema mmeyasajili wapi hayo magwanda
 
hayya. bado sasa mkulu wake FISADI LOWASA kujiunga RASMI ACT ili wakamilishe malengo yao.

Jina lako linatoa taswira ya ufikiri wako

Unaweza ukathibitisha kwa data dahihi ufisadi wa lowasa?usiongeee ongeee tu tra nishawaaambia wanapoteza mapato usingeongea urojo kama ungelipishwa tozo kwa kila uongealo ,,,no data keep quite
 
Reactions: myr
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…