Zitto kurudi Bungeni ni ndoto!

Zitto kurudi Bungeni ni ndoto!

Zitto ndo katu-flag team Mawese Mjini,Waha sasa heshimaaaaaaaaaaaa
 
Kwa hali halisi tuliyoiona Kigoma Jimboni kwa Zitto Kabwe kuna kila dalili huyu kiongozi akaukosa Ubunge mwaka huu.Tumetembea sehemu mbalimbali na tukafanya mazungumzo na wananchi wengi kuna kila dalili Zitto akashindwa kurudi bungeni.Wananchi wengi wanashangaa Zitto kutokuwa na muda wa kufanya kazi jimboni na kujihusisha zaidi na mambo ya kitaifa huku akisahau wananchi waliomchagua.Wengine wanadai ni kwanini awe msaliti wa chama kilichomjenga na wanaonyesha dhahiri wanaichukia CCM ambayo Mbunge huyo anashutumiwa kutumiwa ili kuharibu harakati za mabadiliko.Kwa kweli Zitto ana kazi kubwa sana kwani hawa wana Kigoma wanaonekana wameamka na wanajitambua kwelikweli!
Vipi,ulikuwa unaandika lakini? Leta ngonjera nyingine tena.
 
Zitto kajuaje kuwanyoosha?na bado mtakuwa kama spoku za baiskeli
 
Aibu zakooooooooooooooo.zito huyoooooooooooooooo ndani ya mjengo.hongera comrade zitto zuberi kabwe 2020 uwe president wetuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom