zitto ni mzito wa kuelewa na mwepesi wa kusahau,amesha likoroga acha alinywe ikibidi ampe na slaa alinywe ili liwauwe wote.zitto na slaa ni vibaraka wa ccm mwaka huu october 25 tunawazika wote na ccm yao kaburi moja.watz tunahitaji mabadiriko,ccm aliianzisha nyerere sasa imezeeka,inanuka rushwa,ufisadi na uonevu.lowasa njoo utuokowe baba tuna umia,escrow wale wao michango ya maabara tutowe sisi wananchi haya ni majanga.
Haya mabadiliko ya kuwatoa bungeni kina Zitto na kuwaingiza kina kingwendu hayana, na hayastahili kupewa nafasi.Zitto ni mzito wa kuelewa na mwepesi wa kusahau,amesha likoroga acha alinywe ikibidi ampe na Slaa alinywe ili liwauwe wote.Zitto na Slaa ni vibaraka wa ccm mwaka huu october 25 tunawazika wote na ccm yao kaburi moja.Watz tunahitaji mabadiriko,ccm aliianzisha Nyerere sasa imezeeka,inanuka rushwa,ufisadi na uonevu.Lowasa njoo utuokowe baba tuna umia,escrow wale wao michango ya maabara tutowe sisi wananchi haya ni majanga.
Japokuwa mimi ni ukawa ila naamini Zitto anatakiwa kurudi bungeni. Hii ni pamoja na upopo wake.
Anahitajika sana, hasa ikizingatiwa tunaoletewa na ukawa ni hawa kina kingwendu.Japokuwa mimi ni ukawa ila naamini Zitto anatakiwa kurudi bungeni. Hii ni pamoja na upopo wake.
Kwa hali halisi tuliyoiona Kigoma Jimboni kwa Zitto Kabwe kuna kila dalili huyu kiongozi akaukosa Ubunge mwaka huu.
Tumetembea sehemu mbalimbali na tukafanya mazungumzo na wananchi wengi kuna kila dalili Zitto akashindwa kurudi bungeni.Wananchi wengi wanashangaa Zitto kutokuwa na muda wa kufanya kazi jimboni na kujihusisha zaidi na mambo ya kitaifa huku akisahau wananchi waliomchagua.
Wengine wanadai ni kwanini awe msaliti wa chama kilichomjenga na wanaonyesha dhahiri wanaichukia CCM ambayo Mbunge huyo anashutumiwa kutumiwa ili kuharibu harakati za mabadiliko.
Kwa kweli Zitto ana kazi kubwa sana kwani hawa wana Kigoma wanaonekana wameamka na wanajitambua kwelikweli!
Lete sababu, co unambwela tu.kwa ujumla jamaa hawezi kupita kwenye uchaguzi huu..ila atakuja kupata nafasi ya kuteuliwa na raisi. Ila kwenye kura ameshapotea..
Japokuwa mimi ni ukawa ila naamini Zitto anatakiwa kurudi bungeni. Hii ni pamoja na upopo wake.
Anahitajika sana, hasa ikizingatiwa tunaoletewa na ukawa ni hawa kina kingwendu.
Ni mtizamo wako tu
Hivi unajua baadhi ya watz akili zao zipo kama saa zinabadilika kila sekunde, dakika,saa hadi siku ndivyo tulivyo tunaendeshwa kimatukio
Mfano lowassa na ugombea wa uraisi tena kwa chama ambacho kimejengwa kwa misingi ya kukemea rushwa na ufisadi lakini leo ametwist akili za watu leo ni lulu lowassa pamoja na kashfa zake..
Humu jf Id ambazo ni kongwe nyingi hazimtetei ila kuna baadhi zinamtetea kwa maslahi yao
Hii ndo siasa za tz ni unafiki tu mwanzo mwisho
Nitajie chuo alichosomea na level ya huo uhasibu wake.hivi mkuu nje ya usanii unafahamu ni ni kumhusu kingwendu? je,unaweza kuthibitisha we we ni bora kuliko yeye? Arnold Shwazineger alikuwa muigizaji tu lkn aliwaangusha wangapi had kuingoza California mpaka alipostaafu kikatiba? kingwendu ni msomi na taaluma ya uhasibu.usimdharau MTU kwa kazi anayofanya mkuu
Nyie mnaota mchana kweupee,zitto ndio mfalme wetu kigoma ,our icon, zitto si tu kama ameleta maendeleo bali ametupa heshima kubwa sana Mkoa Wa kigoma,hata akipofuka macho lkn Bungeni ni lazima arudi,hlf siasa za wanakigoma mtuachie sisi mwenyewe,sisi hatupelekwi pelekwi kama Nyumbu, sisi kigoma siku zote huwa tunajua nn tunataka na yupi anatufaa,poleni sana nyumbu nyie angaikeni na Dr slaa sasa HV ila zitto mumuache kama alivyo
jibu kwanza hoja then uniulize hayo.Nitajie chuo alichosomea na level ya huo uhasibu wake.