Ndugu,napata wasiwasi sana wewe kumsifia zitto hilo ndilo linalomponza haiwezekani mkamsifia mbunge wa upinzani kama kweli yupo kinyume na nyinyi
mmeshindwa kujificha kama mnamtumia ndio maana tumegutuka
Chadema imepoteza dira na mwelekeo
zzk ameshndwa kusaidia jthada za kupata maji kgma kaskazn wanawake wanahangaika kusafir umbal mref kuyafuata maj ila leo mnamwta mtu maarufu?
Hadi 2015 atabaki mbowe na mtei tu kwenye hiyo saccos
Chadema imepoteza dira na mwelekeo
Huo ndio uhalisia hautaki unaachaWatasikika wakisema,
Who is Zitto!
Hana impact yoyote ndani na nje ya CHADEMA!
Hata huko Kigoma, hana Wabunge na Madiwani wa CHADEMA!
CHADEMA ndiyo imemfikisha hapo alipo!
Chama hakiwezi kuruhusu wasaliti ndani ya chama!
CHADEMA kwa sasa ni imara zaidi baada ya kumuondoa kwenye uongozi!
Etcetera, Etcetera...
Hakika ukweli huu nauona liko wazi sana suala hili.Ukitaka uongozi CDM we ungana na akina Slaa na DJ. Mbowe kuwaponda wasiowataka, then uchaguzi unaofuata gombea nafasi very easy
Ukitaka uongozi CDM we ungana na akina Slaa na DJ. Mbowe kuwaponda wasiowataka, then uchaguzi unaofuata gombea nafasi very easy
Bawacha kwa matusi hamjambo.mbona hata mama yako kapoteza mvuto kwa baba yako long time ago ndio maana ukazaliwa njeee ya ndoa?
Watasikika wakisema,
Who is Zitto!
Hana impact yoyote ndani na nje ya CHADEMA!
Hata huko Kigoma, hana Wabunge na Madiwani wa CHADEMA!
CHADEMA ndiyo imemfikisha hapo alipo!
Chama hakiwezi kuruhusu wasaliti ndani ya chama!
CHADEMA kwa sasa ni imara zaidi baada ya kumuondoa kwenye uongozi!
Etcetera, Etcetera...