Zitto kuhukumiwa Mei 29, 2020

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
Kila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi'
(Kesi ya Jinai Na. 327/2018).

Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu sana. Suphian Juma on Twitter,
IMG_20200525_134207_438.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi'
(Kesi ya Jinai Na. 327/2018).

Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu sana. Suphian Juma on Twitter, View attachment 1459187

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania gani unaowazungumzia hapa, binafsi namuombea dua MBAYA na mahakama itende haki pasipo kuangalia ye ni nani.
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Kila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi'
(Kesi ya Jinai Na. 327/2018).

Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu sana. Suphian Juma on Twitter, View attachment 1459187

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumuombea Zitto dua ni sawa na kumuombea SHAITWAN RAJIIM dua ili Mungu amsamehe.huyu kazi yake kubwa ni kuichonganisha serikali na wananchi pamoja na kuitakia mabaya nchi yake.Itapenedeza hata akifungwa jela.
 
Kila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi'
(Kesi ya Jinai Na. 327/2018).

Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu sana. Suphian Juma on Twitter, View attachment 1459187

Sent using Jamii Forums mobile app
Nami naungana na waombaji kumwombea aende jela ili akitoka asishtakiwe tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom