Huyu marehemu huyu, kwa kweli hasara aliyoisababishia nchi, sijui kama kuna mtu anayejua kwa uhakika.Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu...
Zitto Kabwe kibaraka wa bibi vascoBaada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu...
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Hoja hujibiwa na hojaUmwage korosho baharini ili ugundue nn?kuna wakati hua nawaza km nati ktk kichwa cha mtu huyu zinafanya kazi.
HaituusuuuuBaada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu...
Sasa unajibu niniHoja hujibiwa na hoja
Prove him wrong with facts and figures
Kumbukizi 🐒Uzuri ni kwamba jamaa ni mwoga sana..kipindi cha magu aliufyata.
#MaendeleoHayanaChama
Nani, jpm au Zitto?Umwage korosho baharini ili ugundue nn?kuna wakati hua nawaza km nati ktk kichwa cha mtu huyu zinafanya kazi.