Zitto: Kitendo cha Kiongozi wa Upinzani kukaa ndani kwa zaidi ya miezi 2 halafu tulio kuwa nje hatuonyeshi reaction yoyote kwenda kwa watawala si sawa

Mwisho wa siku watamuachia tu hawana la kumfanya.

Watu kutulia ni kuwanyima sababu za kupiga watu risasi kama ilivyotokea kwa Aquilina na pia wao ndio wanaobeba lawama.

Na ndio maana hata ile propaganda ya kusema kuwa CHADEMA ni watu wa fujo siku hizi imekufa.

Anachotaka Jiwe ni watu wampigie magoti na kufanya hivyo itakuwa ni kosa kubwa sana(mtamuongezea kiburi).

Niwaambie tu, Mbowe kuwa gerezani wanaoteseka katika nafsi zao ni wao na utulivu wa wapinzani unawatesa pia.

Isitoshe, umma mzima unaona huu uonevu na ukandamizaji tangu kwa Lema, Sugu, Lijuakali na sasa Mbowe, hivyo kisiasa ni disadvantage kwa Jiwe na CCM yake ndani na nje ya nchi.
 
Kitendo cha Kiongozi wa upinzani kukaa ndani kwa zaidi ya miezi miwili halafu hatuoni reaction yoyote kutoka kwa watu tuliopo nje, hii inaleta picha mbaya sana, na watawala wataona wanaweza kumuweka kila mtu ndani"
Kwani rufaa ya kupinga kunyimwa dhamana imesikilizwa na wameshinda? Si ndio rules of Law? Ingalikuwa wamepewa haki yao na bado wakang'ang'aniwa tungalikuwa na sababu.
 
MANDELA ilikuwaje na mwishowe ikawaje.wamshikilie tu wanampa promo,sisi wananchi tunaona tunasikia tunafahamu zote mwisho wa siku waamuzi ndyo sisi.kila tawala ina zama zake na kila zama inapita nakubaki historia
Sasa kwani Mbowe anafanana na Mandela?!!!!!
 
Reaction wakati mtu kakiuka dhamana kwa utashi wake? Msitake watu wawe kondoo wa kafara. Kiongozi mwenyewe sio mkweli, fisadi na ni mchafu.
Kitendo cha Kiongozi wa upinzani kukaa ndani kwa zaidi ya miezi miwili halafu hatuoni reaction yoyote kutoka kwa watu tuliopo nje, hii inaleta picha mbaya sana, na watawala wataona wanaweza kumuweka kila mtu ndani"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom