Kazi kusifiwa watu tu, na wewe hujaeleweka. Hivi point za wengine huwa hamzioni mnaona za Zitto tu huyu jamaa ameweka mamluki wake wengi sana kwenye jamii forums.

Kama humkubali zitto,basi utakuwa na wivu wa kike.
zito ni sawa na wabunge 100 wa ccm.
Zito ana uwezo mzuri sana Tatizo lake anadhani yuko pale kama yeye na si Chama na viongizi wenzake pamoja na wanachama. kwa ujumla ana katabia kausaliti sometimes.
Sio tarbia ya kiusaliti BALI ANAJIAMINI SANA KWA YALE ANAYOAMINI NI SAWA KWAKE.
Kijana mzuri sana na wangepatikana wabunge 15 wenye tarbia kama zake basi Tz mngekuwa pazuri sana. Kwani yeye si miongoni mwa wale wa kusubiri kulishwa.
Hongera Zitto
Kazi kusifiwa watu tu, na wewe hujaeleweka. Hivi point za wengine huwa hamzioni mnaona za Zitto tu huyu jamaa ameweka mamluki wake wengi sana kwenye jamii forums.
Najaribu kulifuatilia Bunge katika maswali na majibu...Umiliki wa hisa asilimia 100% za Tigo na Wageni ni la msingi. Suala la uuzwaji wa hisa za serikali(?) Kabla ya uchaguzi Mkuu 2005 Kinyamera unatia shaka....Majibu ya NW ni ya kiubabaishaji... Swali linahusu 2005 na yeye anakazania sheria na Kanuni za mwaka 2010.