Zitto kapotelea wapi?

[south kikaz] hapa vp rais dr slaa makamu zitto hapo hatuchukui nchi! vp wanachadema hii imekaa sawa!!

katiba hairuhusu raia na makamu kutoka upande mmoja wa muungano soma katiba na kuwa makini kabla ya kuposti!
 
Ila zile zero kwenye budget yake kivuli was a big blow, next time kuwa makini. Error kubwa hivyo ipite unnoticed maana yake mnaonyesha mlizima moto. Take more time, na uwape wataalam wengi zaidi waproofread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…