Zitto, kama umeshindwa kumheshimu Rais Magufuli kwa dhamana yake basi mheshimu kwa umri wake

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe ni kijana ambaye miaka ya 2015 nyuma ulikuwa ni miongoni mwa vijana mahiri na wenye kujenga hoja kweli kweli, binafsi mbali na kutokufuatilia Itikadi zenu za kivyama nilikupenda na kukuheshimu sana.

Hukuwahi kuwa na siasa za kushambulia utu wa mtu, ila ulikuwa na siasa za kushambulia hoja ya mtu, " politics of agenda not inhuman politics".

Nimesoma tweet yako, binafsi nimeumia sana, na niseme tu ningekuwa na uwezo nadhani ulikuwa ni wakati muafaka wa kuvunja katiba na kukushughulikia wewe mtu mmoja ambaye unahatarisha amani ya watanzania milioni 50 na kujenga taharuki kwa kutunga uongo.

Busara inaweza tumika kukuacha uendelee na maisha yako ila nakuhakikishia Kaka yangu na kijana mwenzangu dhambi hii haitokuacha salama kama sio leo basi kesho.

Umenukuu kifungu cha katiba 37 (2) ambacho kwa hakika ni dhihaka kubwa kwa kiongozi wa nchi.

Marekani wana Demokrasia ila hawafanyi hivi,
Uingereza wana Demokrasia ila hawafanyi hivi,
Urusi wana Demokrasia ila hawathubutu kufanya hivi.
Hapa Tanzania kuna nini watu wanavuka mipaka na kudhalilisha utu tena wa Kiongozi Mkuu wa nchi?
Uhuru gani wa kuongea tunaoutaka? Ni huu wa kudhihaki na kudhalilisha utu wa Viongozi tena Mkuu wa nchi.

Zitto umeteleza tena umeteleza sana, binafsi nimeumia sana ila bado naendelea kutafakari je ni wewe ninayekufahamu uliyepita mpaka nyumbani kwetu kuomba kura kwa akili zako unafanya haya ama wewe ni kitangulizi tu?

Zitto kama umeshindwa kumuheshimu Rais Magufuli kwa dhamana aliyonayo basi muheshimu kwa umri wake.

Naamini sana katika uhuru wa mawazo na demokrasia lakini si katika kuutumia kwa ajili ya kutweza utu, kuzusha, kutunga uongo au kujenga taharuki kwa maslahi binafsi ya kisiasa.

Daud Lukanya
Kigoma Ujiji.
Daudlukanya@gmail.comView attachment 875427
Nadhani ungeanza kukosoa hiko kifungu cha sheria kwanza kabla ya kumkosoa Zitto, maana waliokiweka hiko kifungu walijua hali hiyo huweza kutokea kwa mtu yeyote yule.
 
Tulia ndugu siasa ina gharama yake, hata ukiwa na miaka 1000 kama ueleweki vijana wa miaka 30 watakuelewesha tu
 
Hicho kipengele cha katiba kwani kimehatarisha aman kivipi mkuu?? Au umeacha maelezo memgine ya huyu Zitto! Kama kweli ulichoandika kirefu namna hiyo umejibu hako kaujumbe ka Zitto kenye mistari mitano, basi una hofu isiyokuwa na kifani!! Umekuza sana hiyo tweet ya ZZK
 
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe ni kijana ambaye miaka ya 2015 nyuma ulikuwa ni miongoni mwa vijana mahiri na wenye kujenga hoja kweli kweli, binafsi mbali na kutokufuatilia Itikadi zenu za kivyama nilikupenda na kukuheshimu sana.

Hukuwahi kuwa na siasa za kushambulia utu wa mtu, ila ulikuwa na siasa za kushambulia hoja ya mtu, " politics of agenda not inhuman politics".

Nimesoma tweet yako, binafsi nimeumia sana, na niseme tu ningekuwa na uwezo nadhani ulikuwa ni wakati muafaka wa kuvunja katiba na kukushughulikia wewe mtu mmoja ambaye unahatarisha amani ya watanzania milioni 50 na kujenga taharuki kwa kutunga uongo.

Busara inaweza tumika kukuacha uendelee na maisha yako ila nakuhakikishia Kaka yangu na kijana mwenzangu dhambi hii haitokuacha salama kama sio leo basi kesho.

Umenukuu kifungu cha katiba 37 (2) ambacho kwa hakika ni dhihaka kubwa kwa kiongozi wa nchi.

Marekani wana Demokrasia ila hawafanyi hivi,
Uingereza wana Demokrasia ila hawafanyi hivi,
Urusi wana Demokrasia ila hawathubutu kufanya hivi.
Hapa Tanzania kuna nini watu wanavuka mipaka na kudhalilisha utu tena wa Kiongozi Mkuu wa nchi?
Uhuru gani wa kuongea tunaoutaka? Ni huu wa kudhihaki na kudhalilisha utu wa Viongozi tena Mkuu wa nchi.

Zitto umeteleza tena umeteleza sana, binafsi nimeumia sana ila bado naendelea kutafakari je ni wewe ninayekufahamu uliyepita mpaka nyumbani kwetu kuomba kura kwa akili zako unafanya haya ama wewe ni kitangulizi tu?

Zitto kama umeshindwa kumuheshimu Rais Magufuli kwa dhamana aliyonayo basi muheshimu kwa umri wake.

Naamini sana katika uhuru wa mawazo na demokrasia lakini si katika kuutumia kwa ajili ya kutweza utu, kuzusha, kutunga uongo au kujenga taharuki kwa maslahi binafsi ya kisiasa.

Daud Lukanya
Kigoma Ujiji.
Daudlukanya@gmail.comView attachment 875427
Tones za mheshimiwa huyu katika miezi ya karibuni zinaonyesha dalili za 'frustration' za kisiasa ambazo zimemuta huyu mheshimiwa. Anahisi kuwa hapewi thamani stahiki. Kwani kwa sasa ukiondoa Ubunge[hayumo kwenye kamati nyeti ambazo alikuwemo] hasikilizwi huko kwao . ACT ni chama kidogo sana na siyo hadhi yake [kwa muendelezo wa tabia yake ni vigumu chama hicho kupata wabunge/madiwani wapya. Ushauri wangu ni kwamba inabidi abadilishe farasi kwa aidha kurudi CDM au kwenda CUF.
 
Hivi lini watu humu JF mtaanza kujadili hoja badala ya ukenge? mie nilifikiri watu wangejikita ktk hoja ya Zitto badala ya kuandika upuuzi na ujinga. Zitto kaandika hoja tungempinga kwa hoja badala ya huu upuuzi wa kike.
 
Eti Marekani, Urusi, Uingereza hawafanyi hivyo! Upuuzi kabisa au haufuatilii yanayojiri kwenye nchi hzo, badala ya kulaumu katiba unalaumu alienukuu katiba
 
Ina maana hii ibara kwenye katiba iliwekwa kama nafasi ya watu kumtukana raisi? Watu bwana mnapenda sana kujipendekeza, ndio maana mnaweka hadi email address zenu. Tafuteni njia nyingine za kujitutumua mjulikane au kuzawadia sio kupitia kauli za kina Zitto.

Kama hii ibara ni sehemu ya katiba, sioni sababu ya kumshambulia Zitto kupendekeza ifanyiwe kazi. Ndio maana ibara inatoa nafasi kwa madaktari kusema kama Raisi yuko fit au hapana. Sio kwamba itatumika pale tu kuna uthibitisho kamili kwamba raisi ana kichaa. Matokeo ya uchunguzi wa madaktari ndio yatadhihirisha. Sasa nyie mnaojipendekeza, tuambieni mnajuaje kama raisi hana mental problems? Maana kuna two sides of the coin - either raisi ana mental problems or not. The only way ni madaktari kuthibitisha kama anavyoshauri Zitto. Sasa tatizo liko wapi? Mmemuuliza Zitto kama ana sababu za msingi kupendekeza hili? Kati ya nyie na Zitto nani anamjua Raisi kwa undani zaidi?

Kwanza raisi mwenyewe amesema ana kichaa, anateua vichaa kama yeye. Sasa huoni kauli kama hizo tayari ni tatizo? Zito anasema achunguzwe na nyie mnakuja juu. Kwa nini hamkuja juu raisi aliposema hadharani ana kichaa?

Kama mnataka basi tembezeni petition tupate Watanzania zaidfi ya 100,000 ambao wanadhani ni vema Raisi afanyiwe uchunguzi wa mental state. Tukikosa sahihi 100,000 basi tuache hili suala. Kuna vitu vya ajabu sana tumesikia juu ya raisi, pamoja na maisha yake ya kifamilia, kwa hiyo hatupaswi kushangaa Zitto kupendekeza hili.

Msitafute ukuu wa wilaya kwa kulazimisha.
 
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe ni kijana ambaye miaka ya 2015 nyuma ulikuwa ni miongoni mwa vijana mahiri na wenye kujenga hoja kweli kweli, binafsi mbali na kutokufuatilia Itikadi zenu za kivyama nilikupenda na kukuheshimu sana.

Hukuwahi kuwa na siasa za kushambulia utu wa mtu, ila ulikuwa na siasa za kushambulia hoja ya mtu, " politics of agenda not inhuman politics".

Nimesoma tweet yako, binafsi nimeumia sana, na niseme tu ningekuwa na uwezo nadhani ulikuwa ni wakati muafaka wa kuvunja katiba na kukushughulikia wewe mtu mmoja ambaye unahatarisha amani ya watanzania milioni 50 na kujenga taharuki kwa kutunga uongo.

Busara inaweza tumika kukuacha uendelee na maisha yako ila nakuhakikishia Kaka yangu na kijana mwenzangu dhambi hii haitokuacha salama kama sio leo basi kesho.

Umenukuu kifungu cha katiba 37 (2) ambacho kwa hakika ni dhihaka kubwa kwa kiongozi wa nchi.

Marekani wana Demokrasia ila hawafanyi hivi,
Uingereza wana Demokrasia ila hawafanyi hivi,
Urusi wana Demokrasia ila hawathubutu kufanya hivi.
Hapa Tanzania kuna nini watu wanavuka mipaka na kudhalilisha utu tena wa Kiongozi Mkuu wa nchi?
Uhuru gani wa kuongea tunaoutaka? Ni huu wa kudhihaki na kudhalilisha utu wa Viongozi tena Mkuu wa nchi.

Zitto umeteleza tena umeteleza sana, binafsi nimeumia sana ila bado naendelea kutafakari je ni wewe ninayekufahamu uliyepita mpaka nyumbani kwetu kuomba kura kwa akili zako unafanya haya ama wewe ni kitangulizi tu?

Zitto kama umeshindwa kumuheshimu Rais Magufuli kwa dhamana aliyonayo basi muheshimu kwa umri wake.

Naamini sana katika uhuru wa mawazo na demokrasia lakini si katika kuutumia kwa ajili ya kutweza utu, kuzusha, kutunga uongo au kujenga taharuki kwa maslahi binafsi ya kisiasa.

Daud Lukanya
Kigoma Ujiji.
Daudlukanya@gmail.comView attachment 875427
Yaani unataka kabisa tukusikilize kuwa vifungu vya katiba alivyovitaja zitto pamoja na vile vya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni vililenga kumdhalilisha rais?
 
Yaani huyu jamaa (na wezake wengi humu) kila ukisoma post zao 90% ni upepo. By the way siyo kwa sababu ni CCM au CHADEMA....that's not my interest......ni basi tuu hawajui kujenga hoja zenye mashiko. Let me tell you something..especially "propagandists" wa Lumumba. Muwe mnaangalia jinsi Urusi na China wanavyofanya propaganda. ofcourse hamtafikia hata 20% yao, Lakini mtajifunza mawili au matatu. Mjiwekee utaratibu wa kusoma vitabu na majarida makini ya propaganda...angalieni Putin kafanya nini Ukraini na Crimea..amewezaje kunyamazisha wapinzani...kawezaje kuwatia kidole US kwenye chaguzi zao..yote bila kelele nyingiza magharibi (in fact wana wa magharibi wanatafutana wao kwa wao).....Jifunzeni. Mtafaidika!

Kwa sasa naweza kusema..bila kupapasa macho.....mnapokea posho za bure. You are an embarrassment to your pay master.

.....light touch!
Thinking capacity yako na boss wako ndo zinatupa shida humu.wavuvi ni immediate people ambao walikuwa around wakati wa tukio sijui we na boss wako mnajua ku saffocate kunachukua dakika ngapi hadi kusubiri team ya serikali maana meli ili overturn .so sad kwamba hasa boss mkuu kila kitu anaelewa
 
Ni wakati muafaka kwa wabunge wote kufukuzwa (hasa wa chama changu CCM ikiwa ni pamoja na Mwigulu Mchemba) kwa kujua uwepo wa kifungu hicho na kuendelea kukikumbatia huku wakijua fika kwamba kinadhihaki taasisi ya urais. I am just thinking aloud tu.
 
Mtoa uzi, maelezo yote hayo yanaonesha ulivyo na chuki na Mh.Zitto na kuwa na mahaba makubwa na CCM- Chama Cha Magaidi a.k.a Watu Wasiyojulikana. Binafsi sioni kosa lolote alilolifanya Mh.Zitto zaidi ya kuasa Viongozi kuchukua tahadhari ya kuliepuka tatizo kabla halijatokea! Mtu mwelevu hapa atafurahi na kumshukuru Mh.Zitto kwa kutupatia Siri hii inayofichwa na mafundi wa Propaganda.
 
Ni ngumu sana niseme tu haiwezekani kumheshimu mtu anayekudharau!

Watu tunazika yeye anagonga sambusa na wala rushwa!!!! TRAFFIC!!! of all people!!!

.

Siku moja nilisimamishwa na askari wa barabarani mara kadhaa kila mmoja akitaka kunipiga faini. Mmoja, baada ya kubaini umri wangu mkubwa aliniomba tu kwa unyenyekevu aniandikie faini! Leo nilpoona picha ya kikao Ikulu akili yangu ilinipa tafsiri kuwa kilikuwa kikao cha kuweka mikakati ya kuongeza mapato yatokanayo na tozo za makosa ya barabarani!
 
Back
Top Bottom