USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,908
- 22,695
Mwanzilishi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameliambia gazeti la Nipashe online kuwa wenzake 19 waliuawa kati ya mwaka 2015 hadi 2021 na yeye alinusurika kuuawa huku akikamatwa mara 16 katika utawala wa Hayati Magufuli.
Zitto nadaia wao ndio walimwomba Rais Samia ishu ya maridhiano kwakuwa ndio chama kilichopata tabu zaidi kipindi cha Hayati Magufuli kuliko kingine bila kutaja majina ya watu waliouawa ,wapi walizikwa na eneo walililouawa na taasisi gani ilihusika kuwaua .
My take kumbe CHADEMA wamepora maridhiano na kuyafanya yao wakati wao walipigwa risasi tu huku ACT Wazalendo waliuawa kabisa