Zitto Kabwe: "Wekeni akiba ya maneno"

Zitto Kabwe: "Wekeni akiba ya maneno"

Mkapa ana hasira ya washikaji zake Mramba na Yona kufungwa na serikali ya JK, sasa tegemeo pekee ni mdogo wao Magufuli ashinde urais aje kuwatoa. So ukionekana kumkwamisha Pombe wewe ni 'lofa na mpumbavu'!! But Mkapa aweke akiba maana yeye na lodilofa ni copyright...teh...teh...!!
 
Wengi walimwona Zitto kama msaliti na mengi yakanenwa juu yake, yeye aliwaomba waweke akiba ya maneno. Na sasa msaliti wa kweli ameibuka akikibomoa chama hadharani. Niliandika hapo zamani ZZK ni 'mkanaji' kama Petro na juu yake misingi ya taifa hili itawekwa, bali huyu msaliti kama alivyokwishaanza atajimaliza kabisa ila si kwa kujinyonga kama Yuda bali atajifukarisha na unabii wa Mkapa utatimia juu yake( ulofa na upumbavu)!! ni nani huyo?!!!!
 
Hapa tatizo siyo Lowasa bali kitendo cha Kamanda namba 2 kususa wakati vita imepamba moto, huo nao ni usaliti au tutafute msamiati mwingjne? Tofauti ya Dr Slaa na kile alichofanya Lowasa ccm iko wapi? wote wamekimbia vita uwanja wa mapambano!!

Na kama ni hivyo basi hata Lowassa naye anastahili kubezwa kwa usaliti
 
Akiba ya maneno muhimu sana watu wanazidi kuvuliwa nguo.
 
Back
Top Bottom