Yote tisa kuna mtu mmoja anaitwa KUBENEA anaekumbuka ya kubenea na LOWASA du aibu mtu kula mavi uliyokunya mwenyewe.
Mara kadhaa Zitto amenukuliwa na mitandao ya kijamii akiwashauri wanaomwita yeye msaliti waweke akiba ya maneno. Na miongoni mwa walomponda ni Mnyika na Slaa pamoja na bavicha wengi hapa jf. Sasa kwa haya yanayoendelea cdm, je Zitto bado ni msaliti? Na Mbowe ataitwaje? Kwanini ukawa walimwaminisha Lipumba anaweza kuwa Rais ilhali nafasi hiyo ilikuwa ni ya cdm? Dr Slaa hakuwa sehemu ya ujanja/hujuma hiyo? Big up Zitto Zuberi Kabwe uliona mbali!!
Nakumbuka bwana ZZK na Prof Kitila Mkumbo wakati wanafukuzwa chadema walitukanwa matusi yote ya dunia hii na matusi hayo yaliongozwa na Tundu Lissu akifuatiwa na Mnyika. Wengine kidooogo walikuwa na staha kwa sababu walijua kuna ukweli fulani Zito alikuwa anausimamia. Sitayasahau matusi yale na ndio mengine yalisababisha wengine tukajivuta chadema. Naona sasa kibao kimegeuka! KIME TURN AROUND vibaya mno. Yaani sipati picha bwana Zito na group lake watasema nini katika ku revenge kwa mafisadi hawa. Tumedanganywa kiasi hiki jamani. Tumekumbatia mauchafu yote! Aibuuuu.... hata wewe Mbowe.
Angalia umewatia viongozi wenzako matatani na madoa ambayo hayatafutika.
Labda kwa ushauri tu. Wajipambanue mapema wasepe zao, bora tubaki wenyewe kwa wenyewe tupigane mijeledi mpaka kieleweke. Hatukubali ushenzi huu

inachekesha sana wapambanaji dhidi ya ufisadi wanapokuwa mafisadi
Mkuu cdm siku zote wataendelea kuyumbishwa na Mbowe.
Nakumbuka bwana ZZK na Prof Kitila Mkumbo wakati wanafukuzwa chadema walitukanwa matusi yote ya dunia hii na matusi hayo yaliongozwa na Tundu Lissu akifuatiwa na Mnyika. Wengine kidooogo walikuwa na staha kwa sababu walijua kuna ukweli fulani Zito alikuwa anausimamia. Sitayasahau matusi yale na ndio mengine yalisababisha wengine tukajivuta chadema. Naona sasa kibao kimegeuka! KIME TURN AROUND vibaya mno. Yaani sipati picha bwana Zito na group lake watasema nini katika ku revenge kwa mafisadi hawa. Tumedanganywa kiasi hiki jamani. Tumekumbatia mauchafu yote! Aibuuuu.... hata wewe Mbowe.
Angalia umewatia viongozi wenzako matatani na madoa ambayo hayatafutika.
Labda kwa ushauri tu. Wajipambanue mapema wasepe zao, bora tubaki wenyewe kwa wenyewe tupigane mijeledi mpaka kieleweke. Hatukubali ushenzi huu
hivi zitto ni mpinzani AU CCM B maana sielewi,chama chake ni chama cha upinzani au? hebu nijuzeni?maana simuelewi ni mnyama au ndege,yy anatakaje mi naona afocus kunadi sera ili kuiondoa ccm madrakani na si hivi anavyofanya ni kweli alisaliti wala si uongo tatizo likowapi au mwanamke ukiachwa unamwombea mumeo mabaya tu,kwa mwendo huu ccm itabuluza watu,hivi bado tunaitetea ccm kwa lipi,ila naamini wanaoitetea ccm wengi wao hata kesho yao hawaijui.
Msaliti mkubwa ni Dk. Slaa alisomeshwa na Kanisa ili awe Padri milele lakini amelisaliti sasa.
Mbowe kasema ni 'ujinga' kumkataa mtu anayekuja na mtaji wa mamilioni ya watu, kwahiyo hata Nape akija na watu milioni atapewa nafasi ya kugombea urais na kumtosa Dr wa ukweli?
teh...teh...teh...! ' kitanda usicholalia......' kuna la kujifunza hapa mkuu.Sasahivi ndo umeliona hilo? Waswahili husema "kitanda usicholalia hujui kunguni wake" watz hatuijui chadema. Zito aliijua chadema japo alitutahadharisha tusiwaamini wanasiasa. Kweli tuweke akiba ya maneno. Watz wamevunjika moyo
Hamna vitu vya kufanya kuliko porojo? Tupo kwenye kikao mnazingua aiseeee. Tuna vitu vya maana vya kufanya