GE2025 Zitto Kabwe: Wasioshiriki uchaguzi watajutia uamuzi wao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa litakalogharimu taifa kwa miaka mingine mitano ya mateso ya kisiasa na kiuchumi.

Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Tukuyu, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya siku ya Jumamosi, Zitto amesema ingawa wananchi wamechoshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupinga kwao hakutakuwa na maana yoyote iwapo hawatajipanga kushiriki katika uchaguzi kwa ajili ya kuiondoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura.

Zitto amesema kuwa ni wazi Watanzania wamechoshwa na vitendo vya wizi wa kura, upuuzwaji wa sauti zao na ufisadi wa kisiasa unaodhoofisha demokrasia. Hata hivyo, ameonya kuwa suluhisho la hayo yote siyo kukaa nyumbani au kususia uchaguzi bali kupambana kupitia ushiriki wa moja kwa moja kwenye uchaguzi.

Katika hotuba yake, Zitto ameonya wale wanaoamini kuwa mabadiliko yanaweza kuletwa bila kushiriki kwenye mchakato wa uchaguzi.

Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuwa na wagombea kutoka vyama mbadala ambao wataweza kuleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi, huku akisema chama kinachoshiriki uchaguzi ndicho kinachopewa nafasi ya kuleta mabadiliko, si kile kinachokaa pembeni.

Kwa hiyo anafikiri waliogomea kushiriki uchaguzi hawajui haya yote anayosema yeye??!
 
Bado tunajutia uamuzi wetu wa kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa, 2024 tungejua tungelinda kura zetu majumbani maana mliotuahidi kuzilinda mliingia mitini! maFISIEMU wakajinafasi
 
Kwa hiyo anafikiri waliogomea kushiriki uchaguzi hawajui haya yote anayosema yeye??!
Wanajua ila nikatika namna yakukumbushana,Ni kama wale wanaowaambia kua bila reform hakuna uchaguzi,unafikiri wanaowaambia wanakua hawajui hayo?.Hakuna kigeni ila lazima watu waambiane katika namna nzuri.Na katika hili zitto yuko sahihi kwasababu mifano ya chaguzi zinazotolewa mifano ziliharibiwa na magufuli ambaye kwasasa hayupo na aliyepo sasa sioni akiwa na nia yakuingilia mchakato kwa kiwango kile.
 
Nini kilichobadilika katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024 ambao Magufuli hakuwepo??
 
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa litakalogharimu taifa kwa miaka mingine mitano ya mateso ya kisiasa na kiuchumi.

Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Tukuyu, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya siku ya Jumamosi, Zitto amesema ingawa wananchi wamechoshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupinga kwao hakutakuwa na maana yoyote iwapo hawatajipanga kushiriki katika uchaguzi kwa ajili ya kuiondoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura.

Zitto amesema kuwa ni wazi Watanzania wamechoshwa na vitendo vya wizi wa kura, upuuzwaji wa sauti zao na ufisadi wa kisiasa unaodhoofisha demokrasia. Hata hivyo, ameonya kuwa suluhisho la hayo yote siyo kukaa nyumbani au kususia uchaguzi bali kupambana kupitia ushiriki wa moja kwa moja kwenye uchaguzi.

Katika hotuba yake, Zitto ameonya wale wanaoamini kuwa mabadiliko yanaweza kuletwa bila kushiriki kwenye mchakato wa uchaguzi.

Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuwa na wagombea kutoka vyama mbadala ambao wataweza kuleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi, huku akisema chama kinachoshiriki uchaguzi ndicho kinachopewa nafasi ya kuleta mabadiliko, si kile kinachokaa pembeni.
Hahaha......You can fool some people for some time.

This time wamekwama
 
Unajua pale Mlimani kuna lugha moja ya kuvuka mlo mmoja, inaitwa "KUDESHI"
Naamini huyu jamaa AMEDESHI mlo mmoja kama sio miwili.

Mimi namuona kama kuna kapungufu fulani pale juu. Wewe jali mambo ya chama chako,
Askofu Bagonza tunaomba utujibie huyu dogo naona haendi na wakati
 
Back
Top Bottom