Zitto Kabwe VS Tukio la Mo Dewj

Hawawezi kuwa serious kwa swala linalowazidi ki taaluma, na ki mamlaka !!!
Kila wakati serikali inakataa kusaidiwa maswala haya, hasa kutoka FBI, Scotland yard, Mosad nk. Lakini ni kweli kuwa UTEKAJI Tz umeshafikia kiwango cha juu mno, na police pekee bila msaada ni ngumu kufanikiwa.
 
Mr comedy, baba wa kujiteka walahi
 
Reactions: UCD
Watekaji watakubali kujichunguza?
 
So Mo planned for this?
Nop I don't think he has mastermind behind this whole issue. Kwanza, hili swala litamyumbisha kibiashara sana. Pili, ana familia, mke na watoto ambao wanaweza kuathirika kisaikolojia mpaka wametoa dau la BILLIONI MOJA kwa atakaetoa taarifa itakayopelekea kupatikana kwake. Tatu, serekali wasingekataa uchunguzi wa kimataifa kama kungekua na dalili hizo. Nne, sidhani kama ana muda mchafu kama huo wa kujiteka mwenyewe wakati ana mambo chungumzima ya kumuingizia hela.

Tano, huyo jamaa aliesema hivo hapo juu akapimwe akili, maana anamchukia tu Mo Dewj toka moyoni bila sababu, nahisi atakua dishi limeyumba kidogo, WALAHI[emoji18]
 
Na kwa kutokukubali huo msaada wa kiuchunguzi ndipo hofu ya kuhusika inapoongezeka
 
Huyo ISIS hasemi hayo kwa sababu ya ushabiki wa Yanga na Simba. Huyu ni mpumbavu fulani hivi anayeshabikia mateso kwa wenzake hasa yale ambayo serikali inahusiswa direct au indirect. Ni mpuuzi mmoja hivi ambaye anataka wanaJf waamini kwamba yeye ni Usalama wa Taifa na hivyo anayajua vizuri matukio hayo na chanzo chake. Ni Bogus fulani hivi anayejifanya kujificha kwenye msimamo mkali wa kidini akitumia neno "walah" ambayo hupenda kuliandika mwisho wa post zake, "walahi". Ni mtu wa ovyo anayedhani maneno ya ovyo kwa vitu serious yanamsaidia kujenga umaarufu JF! Ni mtu masikini wa fikra na fukara wa busara. ACHANA NAYE MKUU.
 
isis

ni moja ya wapumbavu wakubwa niliowah kuwaona jf

Ni zaid ya mpumbavu
 
isis

ni moja ya wapumbavu wakubwa niliowah kuwaona jf

Ni zaid ya mpumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…