Makambako1
Member
- Jan 17, 2020
- 25
- 38
Mbona hujaweka namba ya simu? au wanakujua kwa jina?Moses J. Machali
15/02/2020
Sasa wewe ndio mkweli? Watanzania sio wapumbavu kama mnavyodhania wana uelewa mpana,sio wale wa ndio bwana au kupiga kura,kizazi hiki ni kipya kilichoelimika hakidanganyiki ni kizazi cha kuhojiNa Moses Machali
Nimepitia tweet yako inayo circulate mitandaoni Mhe Zitto Kabwe kuhusu deni la taifa ukijaribu kuamisha watu kuwa huenda ni Tanzania pekee inayokopa duniani. Kwa ufupi sana hali ya madeni kwa baadhi ya nchi ikihusianishwa na ukubwa wa uchumi wao kwa mujibu wa
tovuti ya : www.worldpopulationreview.com/countries/countries-by-national-debt/
ni kama ifuatavyo:
Japan ndiyo taifa lenye deni kubwa ikilinganishwa na ukubwa wa uchumi wake (yaani Debt to GDP Ratio of the country). Nchi hii ina deni la Dola za marekani 9.087 trilion sawa na 234.18% ya uchumi wake. Tanzania tuna deni la 36.5% ya GDP yetu. Sasa usishangae Tanzania kukopa na kufanya mambo makubwa kama inavyoonekana chini ya serikali hii ya awamu ya tano.
Nchi nyingine wana madeni makubwa kama ifuatavyo:
Canada inadaiwa Dola 925 billion sawa na 83.81% ya DGP ya nchi hiyo.
Ujerumani ina deni la Dola za kimarekani 2.527 billion sawa na 59.81%.
Kwa hiyo upotoshaji mwingine haufai kwa sababu tu mtu ana chuki na kiongozi wa Fulani wa nchi. Siyo ajabu nchi au mtu au Kampuni kukopa bali suala au hoja ya msingi ni je, nchi au mtu au Kampuni inakopa kwa ajili ya kufanya nini? Serikali kwa niaba ya taifa ikikopa na kujenga miundombinu ya Msingi kama inavyofanya hivi sana serikali siyo dhambi. Kwa hiyo Zitto uache kujaribu kupotosha kuwa deni la taifa ni kana kwamba halina manufaa kwa nchi yetu. Rudi kwenye msitari. Pengine tueleze iwapo deni la taifa limefanya mambo makubwa au halijfanya mambo makubwa katika nyanja mbalimbali?
Wanakopa nchi Tajiri duniani sembuse sisi Tanzania??!!! Canada wanakopa, Marekani, Ujerumani, Uingereza, Ubeligiji, China, nk wanakopa. Hata jirani zetu wa Kenya wana deni la 55.50% ya Ukubwa wa uchumi wao huku Tanzania tukiwa na deni la 36.5% ya ukubwa uchumi wetu.
Muwe na siku njema
Moses J. Machali
15/02/2020
Hivi unatambua ukweli kuhusu masharti na dhamana ya mikopo inayochukuliwa? Mh. Zitto anatoa tahadhari ikiwa ni wajibu wake kama kiongozi mmojawapo wa upande wa upinzani. Tatizo la kuokoteza takwimu za kiuchumi zinazotubeba ili kuhalalisha mapungufu ya serikali ni ubabaishaji mtupu.Na Moses Machali
Nimepitia tweet yako inayo circulate mitandaoni Mhe Zitto Kabwe kuhusu deni la taifa ukijaribu kuamisha watu kuwa huenda ni Tanzania pekee inayokopa duniani. Kwa ufupi sana hali ya madeni kwa baadhi ya nchi ikihusianishwa na ukubwa wa uchumi wao kwa mujibu wa
tovuti ya : www.worldpopulationreview.com/countries/countries-by-national-debt/
ni kama ifuatavyo:
Japan ndiyo taifa lenye deni kubwa ikilinganishwa na ukubwa wa uchumi wake (yaani Debt to GDP Ratio of the country). Nchi hii ina deni la Dola za marekani 9.087 trilion sawa na 234.18% ya uchumi wake. Tanzania tuna deni la 36.5% ya GDP yetu. Sasa usishangae Tanzania kukopa na kufanya mambo makubwa kama inavyoonekana chini ya serikali hii ya awamu ya tano.
Nchi nyingine wana madeni makubwa kama ifuatavyo:
Canada inadaiwa Dola 925 billion sawa na 83.81% ya DGP ya nchi hiyo.
Ujerumani ina deni la Dola za kimarekani 2.527 billion sawa na 59.81%.
Kwa hiyo upotoshaji mwingine haufai kwa sababu tu mtu ana chuki na kiongozi wa Fulani wa nchi. Siyo ajabu nchi au mtu au Kampuni kukopa bali suala au hoja ya msingi ni je, nchi au mtu au Kampuni inakopa kwa ajili ya kufanya nini? Serikali kwa niaba ya taifa ikikopa na kujenga miundombinu ya Msingi kama inavyofanya hivi sana serikali siyo dhambi. Kwa hiyo Zitto uache kujaribu kupotosha kuwa deni la taifa ni kana kwamba halina manufaa kwa nchi yetu. Rudi kwenye msitari. Pengine tueleze iwapo deni la taifa limefanya mambo makubwa au halijfanya mambo makubwa katika nyanja mbalimbali?
Wanakopa nchi Tajiri duniani sembuse sisi Tanzania??!!! Canada wanakopa, Marekani, Ujerumani, Uingereza, Ubeligiji, China, nk wanakopa. Hata jirani zetu wa Kenya wana deni la 55.50% ya Ukubwa wa uchumi wao huku Tanzania tukiwa na deni la 36.5% ya ukubwa uchumi wetu.
Muwe na siku njema
Moses J. Machali
15/02/2020
Na Moses Machali

Zitto hapo hajafanya kosa lolote maana nyinyi wenyewe mlituambia tena kwa kujigamba kuwa hamna haja ya kukopa kwani ni matajiri sana na mna mapesa mengi.Usiku Wa Deni Haukawii Kucha Dawa Ya Deni Kulipa Najua Mmenielewa
Deni La Taifa Ni Himilivu
Kukopa Siyo Dhambi!!!!
Machali usituletee story za ulinganisho.Na Moses Machali
Nimepitia tweet yako inayo circulate mitandaoni Mhe Zitto Kabwe kuhusu deni la taifa ukijaribu kuamisha watu kuwa huenda ni Tanzania pekee inayokopa duniani. Kwa ufupi sana hali ya madeni kwa baadhi ya nchi ikihusianishwa na ukubwa wa uchumi wao kwa mujibu wa
tovuti ya : www.worldpopulationreview.com/countries/countries-by-national-debt/
ni kama ifuatavyo:
Japan ndiyo taifa lenye deni kubwa ikilinganishwa na ukubwa wa uchumi wake (yaani Debt to GDP Ratio of the country). Nchi hii ina deni la Dola za marekani 9.087 trilion sawa na 234.18% ya uchumi wake. Tanzania tuna deni la 36.5% ya GDP yetu. Sasa usishangae Tanzania kukopa na kufanya mambo makubwa kama inavyoonekana chini ya serikali hii ya awamu ya tano.
Nchi nyingine wana madeni makubwa kama ifuatavyo:
Canada inadaiwa Dola 925 billion sawa na 83.81% ya DGP ya nchi hiyo.
Ujerumani ina deni la Dola za kimarekani 2.527 billion sawa na 59.81%.
Kwa hiyo upotoshaji mwingine haufai kwa sababu tu mtu ana chuki na kiongozi wa Fulani wa nchi. Siyo ajabu nchi au mtu au Kampuni kukopa bali suala au hoja ya msingi ni je, nchi au mtu au Kampuni inakopa kwa ajili ya kufanya nini? Serikali kwa niaba ya taifa ikikopa na kujenga miundombinu ya Msingi kama inavyofanya hivi sana serikali siyo dhambi. Kwa hiyo Zitto uache kujaribu kupotosha kuwa deni la taifa ni kana kwamba halina manufaa kwa nchi yetu. Rudi kwenye msitari. Pengine tueleze iwapo deni la taifa limefanya mambo makubwa au halijfanya mambo makubwa katika nyanja mbalimbali?
Wanakopa nchi Tajiri duniani sembuse sisi Tanzania??!!! Canada wanakopa, Marekani, Ujerumani, Uingereza, Ubeligiji, China, nk wanakopa. Hata jirani zetu wa Kenya wana deni la 55.50% ya Ukubwa wa uchumi wao huku Tanzania tukiwa na deni la 36.5% ya ukubwa uchumi wetu.
Muwe na siku njema
Moses J. Machali
15/02/2020
We jamaa huna akili kabisa ukitaka kufananisha na hilo angalia deni la taifa la nchi husika angalia na pato la taifa utagundua sie tunadaiwa pesa ndogo sanaKwa hiyo japan kuwa na deni kubwa ni justification ya sisi kukopa kama vichaa. Halafu angalia watu unaojifananisha nao aiseee...
Hivi kwa akili zako sisi na japani tupo kwenye same level kimaisha? Mbna kuna nchi kibao masikini africa zina madeni umeshindwa kuzitolea mifano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeelewa, Kwa.kazi nzuri inayofanywa na serikali hilo deni bado ni dogo sana.ukifungua hiyo link utagundua tuko vizuri sana. Hongera sana Machali Kwa kutupa facts, Mimi huwa ni muumini wa facts. na porojo za akina Zitto
Kwa hiyo japan kuwa na deni kubwa ni justification ya sisi kukopa kama vichaa. Halafu angalia watu unaojifananisha nao aiseee...