Mkuu on this Zitto is very Right labda tuseme angeongeza ujumbe kwa huyo mwana mama kuwa asitumie ugomvi wake binafsi na huyo Mengi kuwadhalilisha Watz wote! Hii ingesaidia huyo mama kuelewa kwanini Zitto ametoa msimamo huo! Sijui kwanini Kiranga amelipuka hivi kimtizamo wangu tunapaswa kujua chanzo cha huo mjadala then tujue Mtizamo wa Zitto ulikuwa base on what ?All said ukweli utabakia kwamba hii misaada wanayoitoa ni aibu yao wenyewe kama reparation...Can't fool me! huwezi nambia Muingereza ana huruma saaana kutusaidia sisi wakati anatumia - When we were rulers they were better off! Hizi ndio story nazisikia sana kuhusu Oman na Zanzibar ati Zanzibar ilikuwa imeendelea sana chini ya Sultan na wajinga wanaamini wanataka kuvunja muungano bora warudi kwa Sultan. Hii misaada yote anayoahidi ni aibu ya kukoloni watu ati huruma!.
Siwezi kumsemea Zitto lakini size yake kuwaambia They can stick that shit in their ashakum!...huwezi kumsaidia mtu na matusi juu ukitegemea sisi tutakaa kimya kama tulivyotukanwa na Israel..
kwenye hii issue kama upo against Zitto wewe sio mzalendo ..huna exposure huwajui wazungu .
Kuwa na exposure ni vipi? Kuwajua wazungu nako kumekaaje?
wazungu ni wanafiki sana wabaguzi na wanawadharau sana waafrika.hata kama huamini acha lakini ukweli ndio huo hapo.hutaki acha
Zitto,
Twitter ina character 140 tu, kama huwezi kuandika vitu comprehensive na succinct bora usiandike. Kwa faida yako mwenyewe. Lugha za watu hizi unaweza kuona unadiss misaada kumbe unachoandika kinamaanisha una equate misaada na reparation.
Money given in aid by the people of the United Kingdom to Tanzania is reparationfor colonial exploits states Tanzanian M.P. Zitto Kabwe.
The "country was built by colonial exploitation. Whether your born or not. We can as well survive without youraid, take it he says.
Zitto Kabwe is a member of the Tanzanian Parliament (CHADEMA), representingKigoma North and is Shadow Finance Minister and Chairperson for TanzaniasPublic Investments Committee. He is therefore a man that shapes governmentpolicy in Tanzania.
In times of unprecedented recession in the UK, I am sure that most would indeed like to stop aid to a country whose policy makers display these kind of sentiments when you scratch the surface!
Pole Sana Tanzania!
Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe
@Chomachomp your country was built by colonial exploitation. Whether your born or not. We can as well survive without your aid, take it.
Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe11 Jan11 Jan@Chomachompyour case is genuine totally but don't link to aid Tanzania gets from UK. Your country's aid is reparation for colonial exploits
--------
Zitto's response to this thread:
Naamini kabisa kama wao waliweza sisi pia tunaweza kama tutawezeshwa kwa Policies ambazo zitawajenga kwanza wananchi wake na sio kutegemea wageni iwe kwa misaada au uwekezaji..Kuna matajiri wengi sana Dar nimewaona mimi enzi zetu wakiwa na vibanda (kiosk)vya kuuza urembo wa wanawake, kimbo na sabuni mitaani leo ni mabillionea, Kina Bakhresa walianza kama washona viatu leo mabillionea tena tajiri kuliko mashirika ya wazungu wengi tu..Kwa nini taifa liwe tegemezi kwa wazungu ikiwa tunaweza kabisa kuanza toka ndani..
Na hapo umejibu kuwa na exposure ni nini? Au umejibu linalohusu wazungu tu?
Pamoja na ukweli kwamba UK was built in that way, we should not be fooled by politicians who use it as an excuse to justify their poor perfomance. Mkoloni aliondoka miaka 50 iliyopita, mbona hakuna kikubwa cha maana kilichofanyika? Kikubwa tulichofanya ni kuvuruga hata yale mazuri yaliyofanywa na wakoloni. Angalia shule alizoacha mkoloni uone hali yake ya sasa ikilinganishwa na mwaka 60, angalia hospitali, angalia barabara ovyo ovyo. Bado tunamlalamikia mwingereza?? Ukiangalia misaada iliyopata Tanzania toka kwa Uingereza, na nini kimefanyika na misaada hiyo unaweza kuonesha ni nini kimefanyika?
Si siri kuwa mkoloni alikuwa mwizi, lakini viongozi wetu wa sasa ni worse kuliko mkoloni, hawana haki ya kumlaumu mwingereza.
Impact ya colonisation ipo, hilo ni fatc.
Kwamba viongozi wetu ni wadhaifu, yes, lakini ukiangalia tena kwa upande mwingine,udhaifu huo unatumiwa bado na mkoloni, kwani mkoloni aliondoka kwa kupenda?
Na kile alichokuwa akikipata mkoloni ina maana sasa anaona kwamba hakina manufaa tena?
Kweli kuna namna nyingi za kufikiri lakini ni muhimu kufikiri kwa mapana zaidi.
Ni ukweli kwamba viongozi ni wabinafsi na ndiyo maana wanajali tu ten pasenti.
Hata hivyo wakiwa na msimamo kama lets say Gaddafi, yani kusimamia rasilimali vyema na kuwabana kwa manufaa ya wananchi.
yap na ndio maana huwa nawauliza watu hivi hawa wazungu walipogundua dhahabu na mafuta huko kwao walimwita nani kuja kuchimba? Si walichimba wenyewe, tena wakati huo hawana uwezo, nyenzo wala usafiri kama tulonao leo ktk masoko... Sasa kwa nini sisi tunataka Utajiri wa haraka sana kwa kufanya Umalaya ili tuwe kama wao ama tupewe ranks kulinganisha na wao?.But trust me, hawa watu wangekuwa na interest ya kutengeneza juice za maboksi, unga wa ngano, ice cream, maji ya chupa, watawala wetu wangehakikisha kina Bhakhresa wanapotea katika ramani ya biashara. Vinginevyo watu hawa wanataka vitu kama madini, mafuta, gesi, mahoteli makubwa huko mbugani n.k, sector ambazo sio kwamba hakuna watanzania wanaoweza kushiriki kikamilifu kama kuna the right policies unazozungumzia mkandara.