GE2025 Zitto Kabwe: Tukipata wabunge wengi ndani ya bunge tunaenda kushughulika na CCM

GE2025 Zitto Kabwe: Tukipata wabunge wengi ndani ya bunge tunaenda kushughulika na CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
"‎Wamezuia mgombea wetu na kesho(leo Oktoba 15,2025) tunakwenda mahakamni kupata uamuzi, lakini kwa maamuzi yoyote yale bado nyinyi mna maamuzi ya kufanya."

Aidha amesisitiza endapo Mpina asipopitishwa na Mahakama, wananchi wawachague Wabunge wa ACT Wazalendo "tukipata wabunge wengi ndani ya bunge tunaenda kushughulika na CCM ndani ya bunge" amesema Zitto

 
Atapata kutoka kwa nani?
Yeye pekee ndio ana guarantee ya kupata ubunge kutoka kwa Samia
 
Zitto isije kulialia kuwa umeibiwa kura hakuna atakaekuelewa.
 
Chipando "amemkalia kooni" sidhani kama atatoboa pale mjini!
 
Back
Top Bottom