Zitto mdini namba moja ya BAKWATA NA JUMUIA YA WAISLAMU yanamhusu nn? Mdini na mgawanyaji wa watz namba moja.... Mdini huyoAkiwa mtu wa mwisho kuchangia katika hotuba ya wizara/mambo ya ndani bwana Zitto Kabwe alisema watanzania wanaishi kwa umoja na wanashirikiana katika kila jambo kwani wanashirikiana katika mambo mengi na wanaochochea udini ni viongozi hasa wanasiasa kwani mtu huzungumzia udini katika majukwaa ya siasa huku watu elfu tano wakiwa mbele yao na kama ilivo bungeni mtu anazungumzia suala la udini na anaona fahari kwa manufaa yake binafsi.
Akaongeza kuwa, serikali haipo tayari kuchukua hatua kwa yoyote anayesemwa anatumia udini kwa manufaa yake...huku wakiwa na uwezo huo.Pia akaiasa serikali kuchukua hatua sasa badala ya matamko tuu.
Kweli hili ni la kweli kabisa.
Sasa hapo Zitto nae anakosea.Mr. Speaker, after three years of my presidency, I can dare to modify the words of famous Zanzibar maestro Siti Binti Saada by saying, Tanzania is a good country, let one who wishes to come do so. God has showered blessings on our country. It is a country of unity, peace, love, rejoicing and exciding generosity. It is a country of people who love equality and justice. Our national unity brings from our firm believe in equality of human beings before God and before the Law. A Unity reinforced by correct policies of national building. Policies based on the principles of social justice, peace, harmony and development for all. A unity which is extra sensitive to policies, statements behavour and actions which may sore seeds discard hatred and suspicious among Tanzanias
Mheshimiwa Mwenyekiti sitatafsiri. Lakini naomba kila Mbunge ajiulize leo iwapo Rais Mkapa tukimpa fursa ya kuja kuhutubia Bunge hili anaweza akayatumia maneno haya tena?
Mauaji ya mwembechai na Zanzibar ni waislamu dhidi ya nguvu za dola. hakuna kanisa limewahi kutuma waumini wake kwenda kuua waislamu. Hili limetokea kwa waislamu tu, kuwatuma waumini wake kwenda kuua padri, na kumwinda balozi wa papa! Na hata quran inapokojolewa, huwa mnaitoa wenyewe mkidai mkojoleaji atageuka kuku! Sasa vitoto vya kikristu ni vijiniasi na huwa vinawaaibisha na uongo wenu maana kama ingekuwa kweli vingeshageuka mijusi
Zitto you are the great leader of this nation. Mungu akulinde kaka.
Na yule kadinari wenu pengo alisema nini baada ya mauaji ya mwembechai usijidanganye wewe unaushahidi gani na ulichokieleza
Nina imani na Zito kabwe ila chama anachowakilisha hakiaminiki!
Nadhani ZITTO bado anajaribu kuukumbatia mbuyu kwa kutokuusema ukweli...Udini Tanzania upo na umeasisiwa vizuri na PENGO na Vaticani yake uku ukielezwa vizuri na KILAINI hiyo 2006 walipowaaminisha watanzania kua JK/CCM ni chaguo la mungu kwa hiyo CDM/MBOWE CUF/LIPUMBA walikua ni machaguo ya shetani...ifike mahari ukweli usemwe apo ndo tatizo km kweli lipo na ninaamini lipo ndipo litakapoisha vinginevyo mnajiridhisha tu...wale wote walioupotosha umma wakina PENGO/KILAINI na wenzake washitakiwe kwa madhambi yao ya udini....
umesahau sheikh ilunga na mchungaji mtikila?aliye leta nyufa ni kile kirusi cha pale makao makuu ya chadema,yule alivujisha barua ya zitto kwenda kwa kirusi.yule aliyesema nchi haitatawalika yule aliyesema mpaka kieleweke huku hataki kukitaja kitakacha eleweka.