koyola
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,644
- 1,749
Tatizo watu wanajifanya hawajui kuwa NFRA ndo ilikua chaka la walanguzi wa mahindi hizo riport na uhalisia wake huwezi jua mapishi yake yalivyo... baadhi tulikua katika usombaji mahindi na usambazaji kivuli chake kirefu zito anakijua..amebaki kubadii gia angani kwa kuzibwa mifareji