Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,198
- 162,739
Rais Magufuli amelalamikia wasaidizi wake kwanini hawakununua Mahindi.Namkumbusha Rais kuwa marais wenzake waliotangulia walikuwa wananunua Mahindi kumlinda Mkulima ( tazama picha Hii Ripoti ya BoT ).Yeye tangu aingie hatengi fedha kwa NFRA. Tatizo Kuu la Rais ni J P Magufuli
Magufuli alipoingia madarakani alikuta NFRA Ina Reserve ya Mahindi tani 253,000. Sasa hivi kuna tani 62,000 tu. NO kuuza mahindi nje na Serikali haikununua matokeo yake bei imeshuka kutoka 120,000 kwa gunia mpaka 20,000. Kama Korosho, soko la mahindi limeharibiwa na Serikali