Zitto Kabwe: Sitopoteza muda kuwajibu waliotunga email feki

Zitto Kabwe: Sitopoteza muda kuwajibu waliotunga email feki

Status
Not open for further replies.

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,025
Maneno ya Zitto Kabwe
Nimepewa taarifa na kupata kuona email za kizushi zinazojaribu kunihusisha na mawasiliano feki na Mwigulu Nchemba.
Kwa mtu yeyote mwenye uelewa hata mdogo wa uhariri wa picha kwa kompyuta mfano Photoshop, anaweza kugundua kwa wepesi kuwa email hizi zimehaririwa kwani hata maandishi yaani fonts ni za kupishana.
Nawahakikishia watanzania wote kuwa email hizi ni feki na za kizushi.
Sitakubali kupoteza muda kujadili uongo na uzushi kwani hivi sasa niko katika ujenzi wa chama changu ACT - Wazalendo nchi nzima.
Nawashukuru wote walioonyesha imani kubwa kwangu na kutambua kuwa siwezi kujihusisha na mbinu yoyote chafu. Siku njema
Leo tupo Morogoro, kesho Dodoma

attachment.php

attachment.php
 
Kupitia mtandao wa Twitter kiongozi mkuu wa chama kinachoibukia kwa kasi amesisitiza hatojiingiza katika Siasa zilizopitwa na wakati na wala hatopoteza muda wa kuongelea hekaya za kutunga, bali ataendelea na kazi ya kujenga chama kitakachofanya kazi ya kukiokoa kizazi hiki kutoka katika mikono ya wanyonyaji.


ACT WAZALENDOOOO




ImageUploadedByJamiiForums1428932227.758075.jpg ImageUploadedByJamiiForums1428932250.626707.jpg ImageUploadedByJamiiForums1428932293.728491.jpg
 
mbona mengine huwa hajibu haraka hivyo ujue ni ukweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Chama chake cha ACT?
Chama cha CCM bana, Zitto acha ubebish

Email ni yako acha uwongo.
Watu wamechota fedha kwa masandarusi na wakakataa sasa sikushangai wewe ukiruka email
 
Last edited by a moderator:
Mwaka juzi habari zake za usaliti zilivuja na kusambaa,akakimbilia polisi na kulalamika kuwa ameingiliwa privacy yake,huyu jamaa kati ya wanasiasa wanafiki na washenzi nyuma ya pazia la uzalendo anaongoza!!

Mwana.halisi waliwahi kuweka mawasiliano yake na watu wa TISS ie Jack Zoka na wenzie akiwemo Rostam Aziz wakati wa uchaguzi 2010 na hakukana zaidi ya kumkasirikia Kubenea!!
 
sasa nimeamini ni za kweli. mbona ametoka kujibu mapema hivi??? et font zunatofautiana aoneshe font zilizotofautiana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom