Zitto Kabwe: Rais Magufuli amelihujumu Taifa kwa kugawa mbegu za korosho nchi za nje

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Hii ni hujuma kwa Tanzania. Ni kinyume cha sheria ya korosho. Huu ni uhujumu uchumi. Sheria inakataza mbegu ya korosho ya Tanzania kutolewa kwa nchi nyingine yeyote. Rais Magufuli J P anahujumu nchi yetu kuwa mzalishaji mkubwa wa korosho. Ameuza siri za nchi kwa bei chee. Zitto Kabwe.

IMG_20191006_100455.jpg
 
View attachment 1224769
Tumejenge viwanda vyakutosha Nchi nzima uchumi wa kati tunahamia kwenye ugawaji wa mbegu za korosho kwa majirani zetu kwani shida ikowa Hapa Kazi tu.
 
Hii ni hujuma kwa Tanzania. Ni kinyume cha sheria ya korosho. Huu ni uhujumu uchumi. Sheria inakataza mbegu ya korosho ya Tanzania kutolewa kwa nchi nyingine yeyote. Rais Magufuli J P anahujumu nchi yetu kuwa mzalishaji mkubwa wa korosho. Ameuza siri za nchi kwa bei chee. Zitto Kabwe.

View attachment 1224769
Tumsamehe bure magufuli hajui anachokifanya,mtu mwenye akili timamu hawezi akazurumu haki ya wanae kwa kisingizio chochote kile kisha akaenda kumgawia kitu hicho jirani
 
Zitto Kabwe:-
Tunaomba utuambie sisi tulitoa wapi korosho hizi - hujui kuwa jirani akiwa maskini nawe unakuwa maskini? Tanzania tumeneemeka sana kutokana na uingizaji wa mazao toka kwa majirani zetu:-
(i). Tuliingiza mbegu ya Mpunga toka nje,
(ii). Tuliingiza mbegu ya mhogo,
(iii). Tuliingiza mbegu ya pamba toka Zimbabwe,
(iv). Tumeingiza mazao mengi baada ya uhuru leo hii ndiyo tusiwape majirani mbegu!!!
 
Back
Top Bottom