Huu ni wakati wa uchaguzi mkuu na kampeni za vyama vinavyoshiriki zimeshika kasi. Kampeni huambatana na kuwekwa mabango na picha za wagombea wa vyama husika. Katika jijini la Dar hasa jimbo la Ubungo na Ilala,kuna picha za Zitto Kabwe zilizowekwa sambamba na za wagombea wa Urais,Ubunge na Udiwani.
Picha za Zitto zinalenga nini hapa Dar ikiwa hagombei Urais,Ubunge wala Udiwani hapa Dar? Zitto apunguze mbwembwe zisizo na msingi. Abandue picha zake mara moja kuwapa nafasi wagombea wa chama chake na vingine kuweka picha zao.
Uwanja wa Zitto wa kubandika picha zake atakavyo ni Kigoma Mjini anapogombea Ubunge kupitia ACT-Wazalendo. Si katika jiji la Dar.
Mbona unakuwa na tabia za kike wakati we mwanaume,au kwenu wamezaliwa wanawake watupu hlf ww ukawa ndio kaka Wa pekee,hlf kwa Bahati mbaya ukaadopt tabia za dada zako.
Last edited by a moderator: