Zitto Kabwe, picha zako hapa Dar ni za nini?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,143
Huu ni wakati wa uchaguzi mkuu na kampeni za vyama vinavyoshiriki zimeshika kasi. Kampeni huambatana na kuwekwa mabango na picha za wagombea wa vyama husika. Katika jijini la Dar hasa jimbo la Ubungo na Ilala,kuna picha za Zitto Kabwe zilizowekwa sambamba na za wagombea wa Urais,Ubunge na Udiwani.

Picha za Zitto zinalenga nini hapa Dar ikiwa hagombei Urais,Ubunge wala Udiwani hapa Dar? Zitto apunguze mbwembwe zisizo na msingi. Abandue picha zake mara moja kuwapa nafasi wagombea wa chama chake na vingine kuweka picha zao.

Uwanja wa Zitto wa kubandika picha zake atakavyo ni Kigoma Mjini anapogombea Ubunge kupitia ACT-Wazalendo. Si katika jiji la Dar.
 
Last edited by a moderator:
Hii ina maana watu hawakifahamu ACT bali wanamfahamu Zitto. Hivyo alichofanya ni kwamba watu wamchague mtu wake toka ACT kwani kinafahamika kama chama cha Zitto!!! Ubinafsi wa hatari
 
Hata Morogoro kuna picha zake kibao mwanzo nilizani ni macho yangu lakini baada ya kuzunguka sana nikakutana na picha za kutosha, Huyu jamaa ni mpenda sifa wa hari ya juu yeye picha zake ndo nyingi kuliko hata za mgombea Uriasi wake na ameweka hovyo ili asifunikwe na mgombea Urasi wake
 
Huyo alishachanganikiwa...anataman leo angekuwepo chadema. Maana ukatibu mkuu ungekuwa wake.

Na anataman angekuwa ccm ila anaogopa macho ya wanakigoma kumbuka act ni for kigoma oneleee

yy yuda...mkuuu wake dr.mihogo kaponzwa na shangingi la mjin mushumbush kupokea mabilion ya ccm km yuda alizlamba
 
Hata mikoani kaweka,halafu kwenye hizo picha kanoga hatari full haiba. Sijui kapigia studio gani?
 
Jamn kumbe na nyie mmeliona hilo? atuambie mlpicha zake dar ni za nin? Huyu jamaa mbinafs kwenye picha yake bora angeweka ya mgombea urais
 
Chama kinategemea akili ya mtu mmoja! zidumu fikra za Zitto,---------. amesahau kuwa Chama ni Sera,sio picha yake! Angekuwa anagombea Urais safari hii tungeona Mbwembwe zaidi toka kwake.
 
Huu ni wakati wa uchaguzi mkuu na kampeni za vyama vinavyoshiriki zimeshika kasi. Kampeni huambatana na kuwekwa mabango na picha za wagombea wa vyama husika. Katika jijini la Dar hasa jimbo la Ubungo na Ilala,kuna picha za Zitto Kabwe zilizowekwa sambamba na za wagombea wa Urais,Ubunge na Udiwani.

Picha za Zitto zinalenga nini hapa Dar ikiwa hagombei Urais,Ubunge wala Udiwani hapa Dar? Zitto apunguze mbwembwe zisizo na msingi. Abandue picha zake mara moja kuwapa nafasi wagombea wa chama chake na vingine kuweka picha zao.

Uwanja wa Zitto wa kubandika picha zake atakavyo ni Kigoma Mjini anapogombea Ubunge kupitia ACT-Wazalendo. Si katika jiji la Dar.

Msaidie kubandua basi kuliko kuendelea kubwabwaja huku JF!
 
Last edited by a moderator:
huu ni wakati wa uchaguzi mkuu na kampeni za vyama vinavyoshiriki zimeshika kasi. Kampeni huambatana na kuwekwa mabango na picha za wagombea wa vyama husika. Katika jijini la dar hasa jimbo la ubungo na ilala,kuna picha za zitto kabwe zilizowekwa sambamba na za wagombea wa urais,ubunge na udiwani.

Picha za zitto zinalenga nini hapa dar ikiwa hagombei urais,ubunge wala udiwani hapa dar? zitto apunguze mbwembwe zisizo na msingi. Abandue picha zake mara moja kuwapa nafasi wagombea wa chama chake na vingine kuweka picha zao.

Uwanja wa zitto wa kubandika picha zake atakavyo ni kigoma mjini anapogombea ubunge kupitia act-wazalendo. Si katika jiji la dar.
kama inakuuma weka za kwako
 
Mi nilifikiri ni mi pekeyangu nawaza hilo, sijamuelewa kwakweli
 
Huu ni wakati wa uchaguzi mkuu na kampeni za vyama vinavyoshiriki zimeshika kasi. Kampeni huambatana na kuwekwa mabango na picha za wagombea wa vyama husika. Katika jijini la Dar hasa jimbo la Ubungo na Ilala,kuna picha za Zitto Kabwe zilizowekwa sambamba na za wagombea wa Urais,Ubunge na Udiwani.

Picha za Zitto zinalenga nini hapa Dar ikiwa hagombei Urais,Ubunge wala Udiwani hapa Dar? Zitto apunguze mbwembwe zisizo na msingi. Abandue picha zake mara moja kuwapa nafasi wagombea wa chama chake na vingine kuweka picha zao.

Uwanja wa Zitto wa kubandika picha zake atakavyo ni Kigoma Mjini anapogombea Ubunge kupitia ACT-Wazalendo. Si katika jiji la Dar.

Kifupi huo ni Uchafu, hizo gharama za kuprint unnecessary na excess posters kwa ajili ya Zitto wangewapa wagombea ubunge na udiwani wanaotaabika mikoani.

Lakini pili hii ni ishara ya wrong allocation of available scarce resource(s). Inaashiria hiki chama sio cha kukipauongozi hata kidogo maana kutakua na misuse of our resources.
 
Last edited by a moderator:
Kuchanganyikiwa huwa kunaanza taratibu,,, walkio naye karibu sijui kwa nini hawamwelezi haina mantik yyte kuweka hayo mabango,,

Sasa mgombea Urais wake anajisikia,, au ndo sheria ya Kiongozi Mkuu,, kaz kweli kweli..
 
Majibu yake haya hapa
 
Attachments

  • 1442237813599.jpg
    1442237813599.jpg
    61.1 KB · Views: 451
Huu ni wakati wa uchaguzi mkuu na kampeni za vyama vinavyoshiriki zimeshika kasi. Kampeni huambatana na kuwekwa mabango na picha za wagombea wa vyama husika. Katika jijini la Dar hasa jimbo la Ubungo na Ilala,kuna picha za Zitto Kabwe zilizowekwa sambamba na za wagombea wa Urais,Ubunge na Udiwani.

Picha za Zitto zinalenga nini hapa Dar ikiwa hagombei Urais,Ubunge wala Udiwani hapa Dar? Zitto apunguze mbwembwe zisizo na msingi. Abandue picha zake mara moja kuwapa nafasi wagombea wa chama chake na vingine kuweka picha zao.

Uwanja wa Zitto wa kubandika picha zake atakavyo ni Kigoma Mjini anapogombea Ubunge kupitia ACT-Wazalendo. Si katika jiji la Dar.
Acha kiherehere, ukiziona 'usiziangalie'.
 
Last edited by a moderator:
Huyo alishachanganikiwa...anataman leo angekuwepo chadema. Maana ukatibu mkuu ungekuwa wake.

Na anataman angekuwa ccm ila anaogopa macho ya wanakigoma kumbuka act ni for kigoma oneleee

yy yuda...mkuuu wake dr.mihogo kaponzwa na shangingi la mjin mushumbush kupokea mabilion ya ccm km yuda alizlamba

wew ni mpumbavu na lofa usiejua mbele wala nyuma nahisi unawashwa unataka zito kutendee muujiza nyambafu
 
Back
Top Bottom