Zitto kabwe on channel ten: Mada: Je ni kweli uchumi wa tanzania unadidimia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto kabwe on channel ten: Mada: Je ni kweli uchumi wa tanzania unadidimia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchaka Mchaka, Jan 22, 2012.

 1. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Anazungumzia kuporomoka kwa uchumi tanzania!
   
 2. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Okey..!
   
 3. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ila kabwe anaakili sema tu,anapojichanganya kwny siasa uchwa na kujilimbikizia mali ndiyo anaharibu.kuhusu katani ninamuunga mkona sn
   
 4. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Dah anachambua issue ya posho mpaka nataka kulia kwa jinsi tunavyoibiwa
   
 5. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mwanafunzi wa Third Universal Theoty.
   
 6. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamaa yuko makini sana namkubali 100%
   
 7. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mchaka mchakani, nini kilichokufanya kukimbilia kuanzisha thread halafu huna cha ziada.

  Watu kama ninyi mnaboa sana. Nikikuuliza Zitto kaongea na kaongelea nini sijui kama unaweza kutueleza vizuri.
   
 8. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamaha yupo vizuri upstairs,ila undumila kuwili wake ndio unamuua taratibu!ajirekebishe
   
 9. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Zito anaweza kulaumiwa, lakini mazingira ya bongo ya sasa ukijifanya mzalendo sana utaumbuka! Kuna waziri mmoja wa serikali ya Nyerere yuko choka hadi inatia hasira. Anatembelea ndala na sometimes anaingia hotelini na kunywa chai na harf-cake moja.
   
 10. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwani huyo waziri alikua halipwi haki kwa maana ya mshahara mkuu?
   
 11. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  waziri gani? lete jina tukuchambulie matokeo ya hali aliyonayo......
   
 12. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kijana kaiva jamani.tungepata angalau vijana kma hawa ndani ya serikali wakasimamia wanachokiamini na kukishawishi kwa nguvu xote hakika tungefika mbali.
   
Loading...