Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,998
- 103,387
Kwani Zito ni chama chenu!?
Zitto si chama chetu ila yeye bila cdm ni sawa na mamba aliye nje ya maji. Hoja hapa si Zitto kuwa cdm, bali ni kuleta hiyo hoja hadharani wakati nyie za kwenu zinajadiliwa ndani ya vikao vya chama. Kama ni jambo la kitaifa leteni hapa hadharani tujadili, kama ni wazo sahihi tutaunga mkono, kama lina mapungufu tutakosoa na kurekebisha, mkiona marekebisho yana tija chukueni, mkiona hayana tija mnaweza kupotezea kama mengine.