Zitto Kabwe: Nina tofauti na Slaa, ila nitajitokeza kumsaidia kwenye hii 'vita' mpya

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
918
1,994
Namnukuu Zitto katika Facebook:
"Slaa hayupo kwenye karatasi ya kura. Naona watu wanahangaika na Slaa. Wengine tuliamua kukaa kimya kwani hekima inataka hivyo.

Kwakuwa watu wameamua kumtukana Dkt. Slaa ni lazima tutoke kulinda haki yake ya kusema yake. Tutatoka na tutaungana na Slaa kuwasema walio kwenye Ballot. Slaa hayupo kwenye Ballot. Mwacheni. Jadilini hoja zake sio kumjadili yeye.

Eti hata watu wasio na rekodi yeyote ya kupambana na ufisadi nchi hii leo wanainua midomo yao kumsema Slaa. Mmeanza. Tutamsaidia Slaa, tutamaliza.

Sina mapenzi na Slaa. Alihusika kuniletea shida kubwa ya kisiasa nilipokuwa napigania MISINGI. Hata hivyo naipenda zaidi Tanzania kuliko tofauti zangu na Slaa.

Ni lazima aheshimiwe na alindwe".
 
Rekodi ya kumsema mtu fulani fisadi ni jambo moja na kuhakikisha unapambana na fisadi halisi (CCM) mpk mwisho wake hajakunyea ushuzi ni jambo jingine.
 
Utamsaidia kwani wew nani!? acha porojo jenga chama chako cha mfukoni....

Zitto you need to start addressing the problems facing the wananchi! what hatare you going to do about the high cost of living? shilling yetu inazidi kuporomoka? youth unemployment?

what are your short and long term strategies to fix the economy? Mkapa left his precedency with the shilling trading at 1000ish today we are at more than 2100!
 
Zito aache Mikwala ..... Yeye ndiye alikuwa wa kwanza kukaribisha Lowasa. Sasa hiyo misingi anayoizungumzia ni ipi!?

Ni kwa la kaizoea sana huyu dogo. Tunasubiri pan ya waanze kufa kwanza!!

Whatever the case Dr Slaa kachemsha!! Tumwache tu akale pension yake USA!!
 
Kuna dakika lazima mstari uchorwe ..... Watu wanafikiri kila mtu ana bei ......kudos Zitto .....
 
Last edited by a moderator:
MR. CONFIDENT

Binafsi sishanga wewe kujitokeza kumtetea, kuna ubaya gani chama lako likiongezeka- #Sellout ? Usitueleze habari ya Dr.W.Slaa kukutendea mabaya kisiasa; kwani kuna uadui wa kudumu kisiasa. Huyu #Sellout kaja mkondo wako mmekuwapo wengi wengipo.

Uza sera mkuu Zitto Kabwe wewe ni kiongozi mkuu wa chama usije kumfanya Mama mgombea akapatwa na upweke na kukimbilia #UKAWA.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom