Zitto Kabwe: Nimeshtushwa na tukio la bomu kwenye ofisi ya Mawakili wa IMMMA Advocates

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Anaandika Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe
Nimeshtushwa na tukio la bomu kwenye ofisi ya Mawakili wa IMMMA Advocates. Wakati tunaendelea kupata Taarifa zaidi nawasihi wanasheria wa kampuni hiyo kuwa na moyo wa subra na ninawapa pole Sana.

Kuna haja ya uchunguzi Huru kuhusu matukio ya aina Hii kwani yanamwelekeo fulani. Tukio kama hili lilitokea Kwa Wakili Omar Said Shaaban ambaye alikuwa anamtetea Ndugu Mansour Yusuf Himid. Sasa aina hiyo hiyo ya uhalifu imefanywa dhidi ya ofisi anayofanya kazi Wakili Fatma Karume ambaye ni mpwa wa Mansour. Tusiache mambo haya kuzoeleka hata kidogo.

News Alert: - DAR: Ofisi za IMMMA Advocates zawaka moto!
 
Nimeshtushwa na tukio la bomu kwenye ofisi ya Mawakili wa IMMMA Advocates. Wakati tunaendelea kupata Taarifa zaidi nawasihi wanasheria wa kampuni hiyo kuwa na moyo wa subra na ninawapa pole Sana.

Kuna haja ya uchunguzi Huru kuhusu matukio ya aina Hii kwani yanamwelekeo fulani. Tukio kama hili lilitokea Kwa Wakili Omar Said Shaaban ambaye alikuwa anamtetea Ndugu Mansour Yusuf Himid. Sasa aina hiyo hiyo ya uhalifu imefanywa dhidi ya ofisi anayofanya kazi Wakili Fatma Karume ambaye ni mpwa wa Mansour. Tusiache mambo haya kuzoeleka hata kidogo.
Hizo ndiyo dalili kuu za udikteta uliojikita bila aibu
 
Hili la ' mpwa ' ndio lililomshtua Zitto nadhani!
 
Zitto alipaswa kusema Kastushwa na Mlipuko uliotokea kwny zile Ofisi sio Bomu.

Mlipuko umesikika lakin kujua Kama ni Bomu au laa kuna hitaji Utaalam kwa kuwa sio kila Mlipuko chanzo chake ni Bomu
Huu mlipuko ulisababishwa na maji ya moto?
ACHANE VVYOMBO VYA ULINZI VIFANYE UCHUNGUZI ACHENI KUINGILIA UPELELEZI.
 
matukio ya mabomu hapa tz .... hayajaanza leo
kumbuka mabomu ya arusha.... pia tafakari mabomu mangapi yamekatwa yakienda kuuzwa au ktk matukio...
je hadi leo polisi hawajui watuhumiwa... ni aibu
 
Back
Top Bottom