pamoja sana ngongoseke hawa jamaa wanataka kuingiza nchi kwenye machafuko ya udini na ukabila.
Zitto ndio sululisho la yote.
naibu katibu mkuu wa chadema taifa na mbunge wa kigoma kaskazini mh:zitto zuberi kabwe (chadema)muda huu ameshaingia wilaya ya karatu tayari kwa mikutano yake mbalimbali maeneo ya vivijini na kesho atafanya mkutano mkubwa karatu mjini.
Mikutano ya leo anaifanya kata ya endamarariek ambapo atakuwa na mikutano miwili ya kujenga na kuimarisha chama.
Huu ni mwendelezo wake wa mikutano mbalimbali ndani ya nchi baada ya kufanya mikutano siku nne mfululizo ndani ya kigoma,jana alikuwa mwanza akalala dar es salaam na asubuhi ya leo amesafiri kuelekea karatu kwa lengo la kujenga na kuimarisha chama.
Wanakaratu wote mnaombwa kuhudhuria kwa wingi mkutano mkubwa siku ya kesho utakao fanyika karatu mjini
chadema ni chama cha kitaifa
people's power
nb
samahani picha hapo juu hainauhusiano wowote na mikutano ya karatu,picha mbalimbali za mikutano ya karatu kukujia hivi punde.asanteni
Wanakaratu wamemuomba zitto akamwage sumu huko na baada ya hapo ni jimbo la hai kisha vunjo sasa tuone na nyinyi muende kigoma kama mutaeleweka na ukaskazini wenu.
Mnafiki mkubwa huyo kazi kila kukicha kuropoka Urais ili CDM wapoteze lengo.Inabidi kila anakoenda ni lazima Kitengo cha intelejensia CDM kipeleke watu kumfuatilia.
Wai lumumba kawambie, wakubadilishie style, hii ni ya kizamani sana tulishaichoka.We mwehu nini,tushakwambia m4c maana yake ni movement for chaggaz ,sasa zitto na m4c wapi na wapi?
Kati ya hiyo m4c yenu mnayoiabudu na zitto nani kamkuta mwenzie kwenye harakati?
M4c ni mradi wa wachagga kuwaibia watanzania na ndio maama lema alikimbia na hela za m4c.
Poor you!
Muache rais wa nchi ajae afanye kazi!
kuanzia wazoa takataka,wafagizi,walinzi,madreva na masekretari wote ni chaggaz kama sio wanatoka ukanda wa kaskazini..mbaya zaidi ni chakla cha wakubwacdm ni chama ambacho kwa muonekano wa nje ni kizuri sana, pale cdm ukimuondoa mbowe na slaa hiki chama ndio kitakuwa mkombozi wa mtz lakini sio sasa, nasikia pal makao makuu kama sio kaskazini wala usipeleke cv labda uwe kibaraka wa mbowe au slaa'
Wewe umetumwa na wamachame na ujasiliamali wa kisiasa kwa zitto lazima mkae na mtaendelea kunywa mbege hapo kikaoni vyenu.
kakudanganya nani?Nyie mnachekesha sana.Mkishadangawanywa basi mnadhani huo uongo uliowanganya utamdanganya kila mtu.Hiyo kawauzie kigoma.Jinsi mnavyoenda mtakuwa watumwa wazuri sana wa hii nchi.No wonder why mlis upply watumwa wengi sana kwa hizi tabia tangu enzi ya mkoloni wenu.
watanzania wote wenye akili timamu wanakisapoti chadema..lakini wanachukia kile mbowe na slaa wanakifanya cha kugeuza chama kampuni chama shetani chama cha kichagga
sasa zitto ameanza kuwafuata hukohuko makwao..utasikiakiliooooo muda si mrefu
Mnafiki mkubwa huyo kazi kila kukicha kuropoka Urais ili CDM wapoteze lengo.Inabidi kila anakoenda ni lazima Kitengo cha intelejensia CDM kipeleke watu kumfuatilia.
Cdm ni chama ambacho kwa muonekano wa nje ni kizuri sana, pale cdm ukimuondoa mbowe na slaa hiki chama ndio kitakuwa mkombozi wa mtz lakini sio sasa, nasikia pal makao makuu kama sio kaskazini wala usipeleke cv labda uwe kibaraka wa mbowe au slaa'
Wanakaratu wamemuomba zitto akamwage sumu huko na baada ya hapo ni jimbo la hai kisha vunjo sasa tuone na nyinyi muende kigoma kama mutaeleweka na ukaskazini wenu.
ushahidi ni huyohuyo dr.slaa muulize familia ya shelembi inaendeleaje????anaweza akapatwa na presure ya kushuka..sio kiongozi huyo.asante mungu uliyeepusha taifa langu kuingia mikononi mwa slaa...tungelipoteza taifa letu
Ivi kaka Zito kakufanya nini yaani unampinga hata kama anafanya mambo ya kuendeleza chama. Au wewe ni pandikizi la CCM
Nyie magamba acheni u-mangungo, tangu lini mkeo akasifiwa na mume jirani yako kuwa anajua mambo? ukiona hivyo ujue kuku kaliwa, hapo hamna kitu. hongereni kuwasaidia cdm kujua kwa nini zito anakubalika na ninyi magambapamoja sana ngongoseke hawa jamaa wanataka kuingiza nchi kwenye machafuko ya udini na ukabila.
Zitto ndio sululisho la yote.
Nyie magamba acheni u-mangungo, tangu lini mkeo akasifiwa na mume jirani yako kuwa anajua mambo? ukiona hivyo ujue kuku kaliwa, hapo hamna kitu. hongereni kuwasaidia cdm kujua kwa nini zito anakubalika na ninyi magamba