Zitto Kabwe ndani ya Karatu

:smash: Tupeni hotuba ya kamanda Zitto huko karatu...wekeni ushabiki kando tupeni hoja za msingi.!
 
Kama wapinzani wako hivi..basi CCM itatawala tena miaka 50 ijayo..
 

sijui unataka sema nini hadi u mention us?Kwenye red ndio Zitto anaanza rudi on his sense.
 
watu walisema zito hafanyi kazi sasa ameanza kufanya kazi mnamkejeli kwani aliyetangaza nia ni yeye 2 au dini yake ndo mnaichukia cdm wenzangu bana

Wanashtuka na kumuona kama kichaa anayeingia petrol station na petrol....thats all.Yaani yeye kuchezea kete ya "udini na ukanda" ni irreversible action.Responsible guys never do this kind of Joke in serious fields.
 
kWA ALEYEKUWAMA NDANI YA M4C NA AKAKUBALI MAUFDHUI YAKE NA MWAMINIFU KWA CHAMA CHAKE CDM.

KWA HALI YEYOTE ILE MANENO YANAYOTAMKWA KUFUATIA ZIARA YA KIONGOZI WETU KULE KARATU NI FEDHEHA KWA WALE TUNAOMUHESHIMU NA VILE VILE UTHIBITISHO WA HOFU KWA BAADHI YA WENZETU WENYE MALENGHO TOFAUTI NA VUGUVUGU.

TUWE PAMOJA IWE KARATU,KIGOMA,MOROGORO IRINGA MBEYA ............
 
Naungana na zzk katika idea ya kujenga chama vijijini, LAKINI karatu chama tayari kimejengwa siku nyingi(labda kama amekwenda kubomoa)
Namshauri zzk hayo mafuta ya kuendea karatu angetumia kujenga chama kule dodoma vijini na muleba.
Nami nakubaliana na wewe mkuu,ila kwa kuongezea chama kiongeze nguvu hii kanda ya kati(Dodoma n Singida) kwani kwa mujibu wa matokeo ya uchaguzi 2010,kuna mwamko kiasi wa wananchi hasa majimbo ya Manyoni (yote),Singida Magharibi,(ingawa mgombea wetu alihongwa na kujitoa),majimbo ya Iramba yote, kwa Dodoma naamini nguvu ya wasomi iliyopo pale ikiunganishwa na kuratibiwa vizuri,kanda ya KATI,itakuwa imekombolewa toka katika makucha ya Magamba
 
Nimeona mkuu inasikitisha kwamba hatujadili hoja bali tunafanya ushabiki kitu ambacho hakijengi.
 

duh, duh , SIJUI NAOTA maana nnavyo mfahamu nnategemea kesho ATA SINGIZIA anadharura , kumbe YUPO TWITTER!!
 

duh, duh , SIJUI NAOTA maana nnavyo mfahamu nnategemea kesho ATA SINGIZIA anadharura , kumbe YUPO TWITTER!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…