ZZK at Karatu
Wana Karatu kama ataanza kuropoka mambo ya URAIS fukuzilieni mbali huyo msaliti.
Akiropoka uraisi hapo karatu............ PLEASE NAOMBA KICHAPO CHA UHAKIKA; WAIRAQ NAWAAMINIA, HUYU MTU ANATAFUTA MANENO M4C INARATIBA YAKE KARATU ANATAFUTA NINI? ..............ATAJIFANYA ANAFAFANUA KAULI YAKE NAKUANZA KUMSIFIA SLAA....

Hamna makundi humu kama nyie wanauamsho.Lets support zzk.
Leo kaamua kwenda kwa mpinzani wake kichama!
Mnafiki mkubwa huyo kazi kila kukicha kuropoka Urais ili CDM wapoteze lengo.Inabidi kila anakoenda ni lazima Kitengo cha intelejensia CDM kipeleke watu kumfuatilia.
Mnafiki mkubwa huyo kazi kila kukicha kuropoka Urais ili CDM wapoteze lengo.Inabidi kila anakoenda ni lazima Kitengo cha intelejensia CDM kipeleke watu kumfuatilia.
mkuu mbona hakuna upinzani baina ya DR. na zitto? sisi tunachokitaka yy zitto ajenge chama, na tusiwape ccm mwanya wa kupumuliaLets support zzk. Leo kaamua kwenda kwa mpinzani wake kichama!
Mbona unakuwa mtoto wewe. Huo ukabila utawaua nyie.Mmemaliza ujinga wenu wa mabeberu na mengine sasa mnawahofia wachaga.Kila muowaobapo kichaa kinawaamka.Rais wenu kasema hawatashika nchi, na wewe pia unabwabwaja huo ujinga.Soon Mtakosa pa kujishikia .Hii ni ishara tosha kuwa mnajua wachaga wakiingia katika wavivu kama nyie hamtasalimika.
We wenzako wameanzisha movemnet na kuipa jina wewe unaleta habari za shehe yahaya za kujumlisha herufi.Na kujitafutia majina kwa staili ya kishirikina.
Hahahaa!molemo kuna siku hamjamfatilia?
Eti intelijensia?mna inteligensia ?
Hahahaa!wadanganyeni hao hao!
Mshumbusi au?
Nenda hata wewe mbona wewe ni mnafiki sana na kuwadi wa uzandiki si uwahi uende.
Sasa bado subili picha jioni utakimbia wewe.
hahaha pole sana,Nadhani mmeshindwa kuweka interejensia Dr.slaa alipokuwa naiba mke wa mtu..ndio mta weza kwa zitto