Zitto Kabwe kufanya Mkutano wa siasa Kigoma

Zuio aliwahusu wabunge majimboni mwao.
 
Wakati mwingine akili yako inapokutuma si vyema kuwaonyesha na wengine waone udogo wa hiyo akili yako.
Mbowe na Nassari nao wamemsifia Magufuli, unazungumzia nini kuhusu hao watu.
Kwa kuwa ameshamsifia mfalme, mkutano wake haotokuwa na madhara yeyote kwa chama tawala so sidhani kama atapata vikwazo.
Na huenda ukawa ni mkutano wa kutangaza kuivunja rasmi ACT wazalendo ili nayeye aweze kurejea CCM kwa amani ya Bwana...
 
Pesa zote zikija Tanzania magufuli anazichukua na kumpatia Lipumba na Madalali wa siasa huko CCM kudhoofisha upinzani pia zingine anawapa polisi na majani wawakomoe Wapinzani mahakamani na huko rumande.
hahahahahahahah haya bwana.......wewe endelea kuamini ivyo
 
MKuu akili yako itakuwa nashida,wabunge nawawakilishi wameruhusiwa kufanya mikutano kwenye majimbo yao kumbuka zitto ni mbunge wa kigoma mjn so anayohaki ya kufanya hivyo,unapoandika fanyia kazi kwanza kabla yakuandika.
 
Wakati mwingine akili yako inapokutuma si vyema kuwaonyesha na wengine waone udogo wa hiyo akili yako.
Mbowe na Nassari nao wamemsifia Magufuli, unazungumzia nini kuhusu hao watu.
Kipindi magufuli hajawa Rais alikuwa na ubinadamu sasa kawa Rais amebadilika na kuwa Dikteta
 
nilijua tu utauliza hili swali,insu ni kwamba misaada haifanyi shughuli husika bali hutumika kukandamiza demokrasia
Misaada toka Ulaya ikitua Tz Mtukufu malaika wa chato huchukua hizo pesa na kuzitumia kwenye mambo ya hovyo hovyo ikiwemo kumpatia Lipumba zito cheyo Dovutwa mrema wale Wapinzani feki wote na zingine zinanunua madiwani wa chadema Arusha na kwingineko, kuwabambikia Kesi kuwakomoa kuwadhalilisha visasi na uonevu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…