Zitto Kabwe katokomea wapi na vijarida vyake?

Zitto Kabwe katokomea wapi na vijarida vyake?

Anakula neema za mama. Zile kelele zote kipindi kile ni sababu alikuwa hajapewa mnofu na yeye.
Naye kama Mr Slow.

Mwanasiasa akikwambia umfuate weka umbali(keep distance) walau uwe na uhakika na anakoelekea...maana ya kwake yakienda inamchukua muda mfupi sana kusahau kama mpo nyuma.
 
Yule mchumi wa maigizo anayejiita Zitto Kabwe kapotelea wapi siku hizi?

Wakati wa Magufuli, Bwana Zitto alikuwa na mstari wa mbele kumkosoa magu kwa mbwembwe na madoido huku kabebelea vipeperushi vya takwimu za kubumba.

Sijui kajificha wapi siku hizi. Sijamsikia akikosoa matozo.

Kajibanza anabugia buyu la asali kimya kimya.

Au kazamia nje ya nchi? Mbona hakosoi matozo ya samia?
Amekabidhiwa ka-mzinga kadogo anapakua taratibu na ma bi-wadogo zake kama kawaida.
Wakati wa JPM njaa ilimzidia ndio maana Kelele zilizidi.
 
Zitto huyu hapa.
Dokta Uchwara
Mystery
Kinkunti El Perdedo
IMG_20220917_210204.jpg
 
Zitto mdini Sana.
Rais akiwa mkristo ndio anapiga kelele.
Akiwa wa upande wao wanakaa kimya kabisa.
Lao huwa ni moja na lipumba, January
 
Wabongo tafsiri ya kukosoa kwao ni kuponda/kumchafua kuonesha kuwa huyo mtu hafai, ndio maana utaona kipindi cha Magufuli kila ambacho kingemtia doa Magufuli kilitajwa walijadili hadi kiingereza chake.
Kwahiyo kwao kukosoa haina maana ya kuona kosa na kulisema ili lirekebishwe.
 
Back
Top Bottom