Zitto Kabwe: Kama ningepata mamlaka ningefanya tofauti

Zitto Kabwe: Kama ningepata mamlaka ningefanya tofauti

chige and Palantir, FisadiKuu come see the Real Talk here.
Dah!! Unajua sijagusa JF kwa siku kadhaa na dakika chache zilizopita ndo nimekuja kunusa japo kwa muda kuona kulikoni!!

Hii ni mada muhimu kweli kweli na inahitaja mjadala wa mapana na marefu!!!

Lakini ngoja niseme jambo dogo tu!! Hivi tunashindwa vipi kuona angalau hili la chuma?! Kwavile JPM ni "Bwana Ujenzi" alitarajiwa aone haya mapema kwamba nchi itakuwa na demand kubwa ya chuma!!!

Kuna wakati nilipata kuandika kwamba, sometimes issue sio nani anamiliki investment husika bali issue ni wapi malighafi ya kulisha investment husika inatoka!!!

Kwamba, hata kama uwekezaji ni 100% foreign owned lakini kama kiasi kikubwa cha malighafi kinatoka nchini basi hiyo investment ni viable investment contrary na investment ambayo unaweza kuta ni 100% inamilikiwa na wazawa lakini over 90% ya malighafi inatoka nje!!!!!
 
Chige umeongea kitu kikubwa sana.. 80% ya mradi wa reli pesa inaenda nje..
 
Chige umeongea kitu kikubwa sana.. 80% ya mradi wa reli pesa inaenda nje..
Inauma sana...! Generally speaking, ni zaidi ya 90%!!!

Chuma kinatoka nje

Aina zote za machineries zitakazotumika kwenye ujenzi, zinatoka nje

Vipuri vya hizi machineries, vinatoka nje

Mafuta na lubricants kwa ajili ya hizi machineries, vinatoka nje

Experts, wanatoka nje!!

Itoshe tu kusema kwamba over 90% ya inputs za mradi, zinatoka nje na kwa maana nyingine, angalau 90% ya matumizi ya mradi, yanaenda kujenga uchumi wa nje!

Wakati tunajua hayo mengine yapo na yataendelea kuwa nje ya uwezo wetu kwa miaka kadhaa ijayo; kumbe kuna mengine tungeweza kujiandaa hata sisi wenyewe na hivyo kupunguza hiyo orodha inayopelekea matumizi ya mradi kwenda nje!!!

Hili la chuma lipo kwenye uwezo kabisa haidhuru hata kama uzalishaji wake nao bado ungetegemea inputs kutoka nje lakini impact ya kuwa na chuma chetu wenyewe ingekuwa ni kubwa maradufu!!!
 
Inauma sana tunapoona tunapotea njia na hatuwezi kufanya chochote..

Leo hii wazabuni wa serikali wako hoi, wastaafu mafao hawapewi, wafanyabiashara wanabambikiziwa kodi yote hii tunajenga chumi za wengine
 
Swali langu kwako ni moja tu,wawekezaji wengi,huagiza bidhaa nyingi kutoka kwao hata zile zinazopatikana hapa nyumbani,
Je nini itatuhakikishia kwamba tukizalisha hicho chuma,watakinunua na kukitumia,Vila kuwepo story za maembe yenu sio bora,tutachukua southafrica
Yes maembe yetu siyo bora katika viwango vya kimataifa ndio maana wanasema hivyo.

Tofautisha kati ya maembe matamu na maembe bora.

Maembe yanaweza kuwa matamu lakini hatuyaandai katika ubora.

Kuuza maembe si kuokota na kufunga katika magunia mabovu ya Lumbesa.

Wenzetu wanaangalia kuanzia embe lililpoiva hadi kukusanywa , kusafishwa, kuwekwa katika mifuko , hali ya usafirishaji, usafi kabla ya kusafirishwa n.k.

Hapo unapata kitu kina Quality assurance

Tatizo la kufunga korosho na mawe linaathiri ubora, si utamu wa korosho

Chuma na makaa anayozungumzia Zitto si kukusanya tu mchanga na kuuchoma.

Ni kuipata chuma kwa procedure mahususi zinazozingatia ubora na viwango vya kimataifa

Hakuna mteja atakayeacha kununua ili aagize Columbia ikiwa ubora unakidhi haja.

Bila ubora nani atanunua chuma ya kuezekea ghorofa 40 au treni ya kubeba abiria!

Nikukumbushe, tulikuwa tunatengeneza betri za National zilizokuwa na ubora na hivyo kuwa 'hot cake' katika ukanda wa Afrika. Zilivushwa nje ya nchi kwa magendo

Tulikuwa na Tanganyika packers, nyama iliuzwa kote duniani. Ni ubora

Tatizo letu ni kama nililoeleza, tunalalamika bila kujua maana halisi.

Utamu wa embe haulifanyi kuwa bora. Watu hawanunui utamu kama Tanzania, wananunua ubora ambao utamu ni sehemu yake
 
Kutwa alikuwa akiuza sura vyombo vya habari wenzie ripoti wakitoa wanaipeleka bungeni ambako ndiko unatakiwa kupelekwa sio media kama zitto alivyokuwa akifanya
Na ikishapelekwa huko wewe mwananchi hutaisikia. Matokeo yake unashangaa kusikia Trilioni imetoweka.
Kazi ya PAC si siri kwasababu inafanywa na wawakilishi kama Zitto.
 
Zitto sijawahi mwamini maana ni kinyonga,rangi zote anazo
Hutakiwi kumwamini au kutomwamini Zitto, unatakiwa kutafakari hoja zake. Kama unaziamini ni kwasababu zipi na kama huamini ni kwanini

Hujajifunza tu ulipoaminishwa maisha bora kwa kila Mtanzania
 
Angetumia hiyo "akili" yake kuibadilisha Kigoma kwanza kabla ya kuleta bla bla zake hapa.
Akili anaweza kuwa nayo, uwezo kama haupo hutaweza kuiona. Vyanzo vyote vya pesa vimechukuliwa , unatagemea miujiza gani.

Kwa anayeona mbali alichokiandika kinafikirisha. Zitto anatueleza tuwinde mbogo si kuvizia ndezi au sungura. Anachosema tuangalie nyika nzima ina majani tuache kula urefu wa kamba

Mpinge hoja zake ili uweze kumshawishi arejee Kigoma kwanza. Kama huwezi kumpinga hoja zake zinasimama wima, si lazima ziwe sahihi lakini kama hutuonyeshi ubovu zinabaki kuwa sahihi
 
...Mpinge hoja zake ili uweze kumshawishi arejee Kigoma kwanza. Kama huwezi kumpinga hoja zake zinasimama wima, si lazima ziwe sahihi lakini kama hutuonyeshi ubovu zinabaki kuwa sahihi
Tatizo sioni hoja zozote zaidi ya kutaka kujipatia umaarufu wa kisiasa. Ningemuona Zitto wa maana kama angalau angefanya hayo "maajabu" jimboni kwake kimatendo. Nimshawishi arejee Kigoma kwanza; sasa aliomba ubunge wa nini?
 
Umepata tu Ubunge haujafanya lolote lile kwa Wananchi wako. Taifa halijaona umuhimu wako! Unataka mamlaka yapi tena?
Maoni yako si ya taifa. Kaweka hoja zake, zipinge kwa mantiki na sababu

Mzee Mkapa alisema kuna umuhimu wa kupitia tena mtaala wa elimu. Alikuwa sahihi

Zitto kaweka hoja, anashambuliwa kama mtu badala ya kushambulia hoja.

Hebu mumjibu kwa hoja zake tuwasome
 
Tatizo sioni hoja zozote zaidi ya kutaka kujipatia umaarufu wa kisiasa. Ningemuona Zitto wa maana kama angalau angefanya hayo "maajabu" jimboni kwake kimatendo.
Haswaa! tunaomba utuonyeshe ubovu wa hoja zake hapo juu kwanza kabla hatujaenda jimboni kwake

Mbona kaweka bandiko wazi, kaeleza maoni yake. Nini kinashindikana kumjibu kwa hoja?

Nadhani kurudi bungeni mara 3 ni dalili ya wanajimbo kuona maajabu yake, si lazima uyaone wewe, wanaomrudisha wanaweza kukusaidia kuona. Jibuni hoja za Zitto hapo juu

Hii ndiyo mijadala inayotakiwa. Kama mtu hana cha kuchangia kukaa kimya ni mchango pia

Nimepingana na Zitto, na nimekubaliana naye kwingine. Nimeeleza ni kwanini
 
Haswaa! tunaomba utuonyeshe ubovu wa hoja zake hapo juu kwanza kabla hatujaenda jimboni kwake...
Kwa kweli muda huo sina. Nimeshakuambia sioni hoja zozote za msingi zaidi ya kutafuta umaarufu wa kisiasa. Ungeanzishwa uwekezaji kwenye uzalishaji wa chuma huyo huyo Zitto angesema yeye angefanya tofauti. Ndio aina ya upinzani dizaini ya Zitto. Ni kupotezeana muda tu.
 
Sio suala la muda, ni suala la kutokuwa na majibu
Ikiwa Zitto angepinga jingine kwa mantiki sioni tatizo

Sisi Watanzania hatuna utamaduni wa kufikirisha akili zetu, utamaduni wa kufikiri zaidi ya tunachoamini. Hatuna utamaduni wa kubomoa hoja, tumejaa kashfa na maneno neno tu

Hatujishughulishi au kujifunza kwa wenzetu hata wanapotuonyesha kitu tofauti

Tunalalamika maembe yanakataliwa nje, wakati hatujui tofauti ya utamu na ubora.

Machungwa ya Muheza yanauzwa Kenya halafu London.
Chungwa lile lile likienda Kenya linawekewa ubora na kuuzwa kwa pound

Hatuna habari ya mahusiano kati ya makaa ya mawe na Chuma.
Mahusiano ya reli na kilimo. Hatuwezi kuona connection ya viwanda na kilimo au madini

Ni wazuri sana wa kujadili personality. Nilitegemea bandiko hili lingekuwa chachu ya mjadala, kupingana , kukubaliana au kutofautiana.

Hakuna! ni kashfa tu Zitto ana suti ya aina fulani, anatoka Kigoma.
Hatujishughulishi na kile alichoandika kinachotugusa haswa

Kwa msingi huo, hoja za Zitto zimesimama, hazina majibu ati! hapa jamvini
 
Sio suala la muda, ni suala la kutokuwa na majibu
Ikiwa Zitto angepinga jingine kwa mantiki sioni tatizo

Sisi Watanzania hatuna utamaduni wa kufikirisha akili zetu, utamaduni wa kufikiri zaidi ya tunachoamini. Hatuna utamaduni wa kubomoa hoja, tumejaa kashfa na maneno neno tu

Hatujishughulishi au kujifunza kwa wenzetu hata wanapotuonyesha kitu tofauti

Tumebaki kulalamika maembe yetu yanakataliwa nje, wakati hatujui tofauti ya utamu na ubora. Machungwa ya Muheza yanauzwa Kenya halafu London.
Chungwe lile lile likienda Kenya linawekewa ubora na kuuzwa kwa pound

Hatuna habari ya mahusiano kati ya makaa ya mawe na Chuma.
Mahusiano ya reli na kilimo. Hatuwezi kuona connection ya viwanda na kilimo au madini

Kwa msingi huo, nabaki kusema hoja za Zitto zimesimama, hazina majibu jamvini
Wewe kama una muda wa kupoteza sina tatizo na hilo.
 
Wewe kama una muda wa kupoteza sina tatizo na hilo.
Hilo si tatizo lako, kwa hakika nimeshupalia hili bandiko ili kuwaonyesha watu sisi ni tatizo kabla ya tatizo.

Kama huna muda, unapata wapi wa kujadili personality ya Zitto? Si ungekaa kimya.

Huna muda wa kumjibu kwasababu huna majibu.
Kila alichoandika ni ''rocket science''. Ulichoweza ni kumtolea kashfa tu bila kujibu hoja

Mzee Mkapa aliposema mtaala wa elimu upitiwe alikuwa sahihi.

Watanzania tubadilike. Tunalalamika jirani wanachukua kazi zetu na biashara zetu kila siku. Hatuoni tatizo linalotukabili la uwezo mdogo wa kujenga au kubomoa hoja

Dunia ya sasa imebadilika si ya kukariri equation au kutapika notisi za darasani.

Ni dunia inayohitaji watu kufikiri na kujifunza kutokana na mazingira yaliyopo

Kama PWC wangehitaji kuajiri, kwa mada ya Zitto huenda angeshindana na Wakenya au Waganda. Halafu tunabaki kulalamika , ah nafasi zimetolewa kwa watu wa nje
Serikali izuie vibali kwa wageni n.k Tusichokubali ni uwezo wetu mdogo

Tubadilike Watanzania, tuache majungu na kujadili personality. Tujadili hoja

Ahsante Zitto na endelea kuleta vitu vya kuchangamsha akili.

Wasio na muda wataendelea kukuandama kwa kashfa, wenye muda watakusoma kwa umakini
 
Back
Top Bottom