Zitto Kabwe Kabwaga Manyanga ACT-WAZALENDO?

Zitto Kabwe Kabwaga Manyanga ACT-WAZALENDO?

Sent from my iphone

Siku hizi katibu mkuu wa ACT kawa Kitila Mkumbo?

Halafu kwa mujibu wa dini yake, unaruhusiwa kuoa mke mmoja asubuhi na jioni ukaoa wa pili!

Nadhani huu mkakati una lengo la kutengeneza Storm kwenye mitandao ya kijamii, ili ZZK asitokee kuzungumza kipindi hiki juu ya tactic za ajabu na mabavu yanayoonyeshwa na serikali.

Pia Wamecalculate haya ili ZZK asije akawa mnufaika wa Kufeli kwa operation UKUTA kutokana na kughairi kwa CDM, au kutokana na nguvu kubwa iliyotumika kuizuia

Ni character assasination kumuondelea ZZK credibility pindi akiongea
Zitto alishasema maandamano ya UKUTA hawamo, soma vizuri email imesema Katibu Mkuu koma kitila Mkumbo yaani waeandikiwa watu zaidi ya mmoja
 
Mimi naiangalia wa angle tofauti

Ni kujaribu kutengeneza story nyingine ili UKUTA ipunguze kuongelewa
UKUTA inasubiri utekelezaji kutoka pande zote CHADEMA na serikali kwa maana ya jeshi, siyo stori tena ni muda kuwa ku-load magazine
 
CHADEMA mmefikia kiwango cha kuanza kuwasambaratisha wapinzani wenzenu!!!?
Kusema kweli huu hapa ni uongo. Official letter kwenye Email?
Haina hata signature
 
Sie tunajiandaa kuchangia damu.......maandamano yetu ni kuandika barua nyingi kudai demokrasia
 
Ngoja niwaambie mods wafutilie mbali huu uharo..!!
 
View attachment 390893
Ni kutokana na Taarifa kubunguruka kuwa amefunga ndoa na wanawake wawili ndani ya siku mbili. Taarifa zinasema ni Zitto amechukua hatua hiyo ili kuonesha uwajibikaji katika masuala mazima ya maadili.
Unless kuwe na kitu kingine lakini hili la tuhuma za kuoa wake 2 kwa mpigo siyo sababu ya uamuzi huo kama kweli nikweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom