Sent from my iphone
Siku hizi katibu mkuu wa ACT kawa Kitila Mkumbo?
Halafu kwa mujibu wa dini yake, unaruhusiwa kuoa mke mmoja asubuhi na jioni ukaoa wa pili!
Nadhani huu mkakati una lengo la kutengeneza Storm kwenye mitandao ya kijamii, ili ZZK asitokee kuzungumza kipindi hiki juu ya tactic za ajabu na mabavu yanayoonyeshwa na serikali.
Pia Wamecalculate haya ili ZZK asije akawa mnufaika wa Kufeli kwa operation UKUTA kutokana na kughairi kwa CDM, au kutokana na nguvu kubwa iliyotumika kuizuia
Ni character assasination kumuondelea ZZK credibility pindi akiongea