Zitto Kabwe: Iundwe Tume ya Majaji kupokea malalamiko ya watu walioteswa, kuumizwa, kubambikiwa kesi, n.k

Awamu ya #jiwe au awamu zote?
Awamu zote itapendeza zaidi. Ona mwangosi alivyopigwa bomu hapa...
IMG_20210606_162104_088.JPG
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa nk. Haki itendeke.
Tume ili zipigwe hela. Na delilah ataingia kichwa kichwa
 
Mataga naona unateseka,tunaanzia tulipoishia,full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwashangai, hizi kelele zenu za muda tu maana hamna ajenda, mkianza kulialia tutakuwa tunawaangalia tu. Wengine tulishachoka drama zenu!

Kwasasa mnataka mpoze hasira kwa utawala uliopita lakini ajenda yenu kuu ni Rais aliye madarakani! Hata mama Samia ajenda zenu zikiisha mtarudi kwa utawala wake.

Uzuri DJ aliyeko huko CCM anawajulia mno! Keep dancing
 
Back
Top Bottom