apolycaripto
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 644
- 225
Hii nimeipata kwenye blog ya Bongo Celebrity alipokuwa akihojiwa Mheshimiwa sana Zitto Kabwe,Wanajanvi kama thread hii haijawahi kuletwa humu nadhani ni wakati muafaka kujadili juu ya ukigeu geu wa viongozi wetu,kwa maana ya kunena wasicho kitenda/kitekeleza.Zitto Kabwe ni kijana mdogo katika ulimwengu huu wa siasa,napata shida pindi atakapo pata fursa pengine kushika nyadhifa ya Urais katika nchi hii kama ndiyo haya kweli aliyotamka na kutenda vinginevyo.
Viongozi wa Calibre hii ni rahisi hata kubadili katiba kwa maslahi binafsi ili kuendelea kuwepo madarakani hasa pale inapofikia kikomo cha madaraka yao.Bungeni hakuna kikomo sasa ilikuwaje Zitto kutamka tena kwa msisitizo kuwa hatogombea umbunge 2010 zaidi ya kutoa support kwa wenzie kwa maana ya upinzani na hatimaye namuona bungeni tena.Vile vile sote tumesikia akijadili sana kauli ya Kikwete kuwa ''tusikubali mtu wa kumrithi awe wa rika lake'' usemi huu Zitto aliubeba binafsi na pengine sasa kuhisi anaweza kuwa Rais wa nchi hii.Yote haya ni tofauti na kile alicho apa.
Ebu Zitto kwakuwa nakuheshimu sana na ninatambua hasaa mchango wako mkubwa katika Taifa hili,nieleze ulikuwa na maana gani katika maneno haya ili niendelee kukuamini.
Hii ni sehemu ya Mahojiano tarehe 1 Septemba 2007.
BC: Where you see yourself in next 10 years time? Any plans to run for presidency?
ZK: I harbour no ambition for Presidency. I will not run for a parliamentary seat in 2010. I want to be part of a team of leaders who will campaign for more opposition parliamentarians. In 10 years time, I might be teaching at one of the local Universities. I have so much pressure to run again in 2010, but I dont think if I will change my mind. Lets wait and see.
Read more: SIASA IKO KWENYE DAMU-ZITTO KABWE - BongoCelebrity