Zitto Kabwe:Ilikuwaje ukagombea ubunge 2010

apolycaripto

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
644
225
Hii nimeipata kwenye blog ya Bongo Celebrity alipokuwa akihojiwa Mheshimiwa sana Zitto Kabwe,Wanajanvi kama thread hii haijawahi kuletwa humu nadhani ni wakati muafaka kujadili juu ya ukigeu geu wa viongozi wetu,kwa maana ya kunena wasicho kitenda/kitekeleza.Zitto Kabwe ni kijana mdogo katika ulimwengu huu wa siasa,napata shida pindi atakapo pata fursa pengine kushika nyadhifa ya Urais katika nchi hii kama ndiyo haya kweli aliyotamka na kutenda vinginevyo.

Viongozi wa Calibre hii ni rahisi hata kubadili katiba kwa maslahi binafsi ili kuendelea kuwepo madarakani hasa pale inapofikia kikomo cha madaraka yao.Bungeni hakuna kikomo sasa ilikuwaje Zitto kutamka tena kwa msisitizo kuwa hatogombea umbunge 2010 zaidi ya kutoa support kwa wenzie kwa maana ya upinzani na hatimaye namuona bungeni tena.Vile vile sote tumesikia akijadili sana kauli ya Kikwete kuwa ''tusikubali mtu wa kumrithi awe wa rika lake'' usemi huu Zitto aliubeba binafsi na pengine sasa kuhisi anaweza kuwa Rais wa nchi hii.Yote haya ni tofauti na kile alicho apa.

Ebu Zitto kwakuwa nakuheshimu sana na ninatambua hasaa mchango wako mkubwa katika Taifa hili,nieleze ulikuwa na maana gani katika maneno haya ili niendelee kukuamini.

Hii ni sehemu ya Mahojiano tarehe 1 Septemba 2007.

BC:
Where you see yourself in next 10 years’ time? Any plans to run for presidency?

ZK: I harbour no ambition for Presidency. I will not run for a parliamentary seat in 2010. I want to be part of a team of leaders who will campaign for more opposition parliamentarians. In 10 years time, I might be teaching at one of the local Universities. I have so much pressure to run again in 2010, but I don’t think if I will change my mind. Let’s wait and see.
 
kAKa tatizo lako ni kiingereza au nini?Hapo kwenye blue wewe umeelewaje
?
 
Akili na mawazo ya watu yapo Igunga. Isitoshe kiongozi mzuri siku zote ni yule anayesimamishwa/kuombwa na wananchi. Zitto aliombwa na wananchi wa Kigoma kugombea. Kitendo cha kuwakatalia ingelikuwa dharau kwa wananchi wa jimbo lake. Zitto siyo aina ya viongozi wanajipitishapitisha kama hao wa magamba.
 
Hii nimeipata kwenye blog ya Bongo Celebrity alipokuwa akihojiwa Mheshimiwa sana Zitto Kabwe,Wanajanvi kama thread hii haijawahi kuletwa humu nadhani ni wakati muafaka kujadili juu ya ukigeu geu wa viongozi wetu,kwa maana ya kunena wasicho kitenda/kitekeleza.Zitto Kabwe ni kijana mdogo katika ulimwengu huu wa siasa,napata shida pindi atakapo pata fursa pengine kushika nyadhifa ya Urais katika nchi hii kama ndiyo haya kweli aliyotamka na kutenda vinginevyo.

Viongozi wa Calibre hii ni rahisi hata kubadili katiba kwa maslahi binafsi ili kuendelea kuwepo madarakani hasa pale inapofikia kikomo cha madaraka yao.Bungeni hakuna kikomo sasa ilikuwaje Zitto kutamka tena kwa msisitizo kuwa hatogombea umbunge 2010 zaidi ya kutoa support kwa wenzie kwa maana ya upinzani na hatimaye namuona bungeni tena.Vile vile sote tumesikia akijadili sana kauli ya Kikwete kuwa ''tusikubali mtu wa kumrithi awe wa rika lake'' usemi huu Zitto aliubeba binafsi na pengine sasa kuhisi anaweza kuwa Rais wa nchi hii.Yote haya ni tofauti na kile alicho apa.

Ebu Zitto kwakuwa nakuheshimu sana na ninatambua hasaa mchango wako mkubwa katika Taifa hili,nieleze ulikuwa na maana gani katika maneno haya ili niendelee kukuamini.

Hii ni sehemu ya Mahojiano tarehe 1 Septemba 2007.

BC:
Where you see yourself in next 10 years' time? Any plans to run for presidency?

ZK: I harbour no ambition for Presidency. I will not run for a parliamentary seat in 2010. I want to be part of a team of leaders who will campaign for more opposition parliamentarians. In 10 years time, I might be teaching at one of the local Universities. I have so much pressure to run again in 2010, but I don't think if I will change my mind. Let's wait and see.
Mbona tumeshasubiri na kuona, swali lako limepitwa na wakati. We endelea tu kusubiri unaweza kuona mengi zaidi.... Saizi watu tunaangalia mbele maendeleo ya nchi na jinsi ya kupambana na ufisadi, umaskini and the like, mwenzetu unaangalia nyuma!
 
Ebu Zitto kwakuwa nakuheshimu sana na ninatambua hasaa mchango wako mkubwa katika Taifa hili,nieleze ulikuwa na maana gani katika maneno haya ili niendelee kukuamini.

Hii ni sehemu ya Mahojiano tarehe 1 Septemba 2007.

BC:
Where you see yourself in next 10 years' time? Any plans to run for presidency?

ZK: I harbour no ambition for Presidency. I will not run for a parliamentary seat in 2010. I want to be part of a team of leaders who will campaign for more opposition parliamentarians. In 10 years time, I might be teaching at one of the local Universities. I have so much pressure to run again in 2010, but I don't think if I will change my mind. Let's wait and see.

Katika siasa this is too low to blame Zitto. Endelea kutafuta lingine kwa hili umepita wima.
 
Hii nimeipata kwenye blog ya Bongo Celebrity alipokuwa akihojiwa Mheshimiwa sana Zitto Kabwe,Wanajanvi kama thread hii haijawahi kuletwa humu nadhani ni wakati muafaka kujadili juu ya ukigeu geu wa viongozi wetu,kwa maana ya kunena wasicho kitenda/kitekeleza.Zitto Kabwe ni kijana mdogo katika ulimwengu huu wa siasa,napata shida pindi atakapo pata fursa pengine kushika nyadhifa ya Urais katika nchi hii kama ndiyo haya kweli aliyotamka na kutenda vinginevyo.

Viongozi wa Calibre hii ni rahisi hata kubadili katiba kwa maslahi binafsi ili kuendelea kuwepo madarakani hasa pale inapofikia kikomo cha madaraka yao.Bungeni hakuna kikomo sasa ilikuwaje Zitto kutamka tena kwa msisitizo kuwa hatogombea umbunge 2010 zaidi ya kutoa support kwa wenzie kwa maana ya upinzani na hatimaye namuona bungeni tena.Vile vile sote tumesikia akijadili sana kauli ya Kikwete kuwa ''tusikubali mtu wa kumrithi awe wa rika lake'' usemi huu Zitto aliubeba binafsi na pengine sasa kuhisi anaweza kuwa Rais wa nchi hii.Yote haya ni tofauti na kile alicho apa.

Ebu Zitto kwakuwa nakuheshimu sana na ninatambua hasaa mchango wako mkubwa katika Taifa hili,nieleze ulikuwa na maana gani katika maneno haya ili niendelee kukuamini.

Hii ni sehemu ya Mahojiano tarehe 1 Septemba 2007.

BC:
Where you see yourself in next 10 years’ time? Any plans to run for presidency?

ZK: I harbour no ambition for Presidency. I will not run for a parliamentary seat in 2010. I want to be part of a team of leaders who will campaign for more opposition parliamentarians. In 10 years time, I might be teaching at one of the local Universities. I have so much pressure to run again in 2010, but I don’t think if I will change my mind. Let’s wait and see.

Tatizo letu wabongo hatusomi na kuelewa, mtu anachukua kajisentensi anakurupuka nako. Soma vizuri hiyo red hapo. "I might be teaching" ina maana inawezekana, which means inawezekana pia ikawa vinginevyo. The guy was not sure of what will happen in the future, sasa wewe unakuja umekurupuka tuu toka usingizini. Duh, kazi kweli kweli, toa ushamba wako hapa, Zitto ni mtu makini sana, na upeo wake uko juu sana mara mia ya wewe.
 
Back
Top Bottom