Kwenye gazeti la the Guardian on Sunday la tarehe 22 April 2012 kuna habari inayosema kuwa Zitto kusimamia zoezi la petition kwa ajili ya kumng'oa Pinda linatokana na 'pressure' ya wananchi na baadhi ya 'donors' kutoka Norway.
"In a telephone interview with The Guardian on Sunday, Kabwe, who is Kigoma North MP, said, "I acted alone…I asked God to help me after a lot of pressure from Tanzanians and some donors from Norway."
Mimi nilifikiri msukumo ulikuwa ni wa ndani ya Zitto (patriotism, deep thinking, creativity and political will), lakini kumbe kutoka nje. Je, huku ni kukomaa kisiasa au ndio spanner mkononi?
Source: :: IPPMEDIA (search using a keyword Zitto or Kabwe)
Ile move ilishindwa kwa vile Zitto alii personalize mno.....alitaka kuitumuia kumfikisha kwenye kilele cha mafanikio. . Kama kweli alikuwa serious mbona leo kimya si angalau angetupa taarifa what is next, maana watu wamekuwa puzzled wanahitaji maelekezo mapya. Nashauri CDM wajenga hoja kuwa kwa vile PM hajaondolewa, na mawaziri hawajajiuzulu basi next move iwe maanadamano hadi kieleweke
Zito ni kilaza tu pe pe pe peeee nyiiiingiiii kumbe doch!!Ile move ilishindwa kwa vile Zitto alii personalize mno.....alitaka kuitumuia kumfikisha kwenye kilele cha mafanikio. . Kama kweli alikuwa serious mbona leo kimya si angalau angetupa taarifa what is next, maana watu wamekuwa puzzled wanahitaji maelekezo mapya. Nashauri CDM wajenga hoja kuwa kwa vile PM hajaondolewa, na mawaziri hawajajiuzulu basi next move iwe maanadamano hadi kieleweke
Huyo mwandishi sizani kama akili zake zinamtosha mwenyewe.Zitto ametumwa na wananchi bungeni sasa alitaka abuni mambo yake kichwani bila utafiti kuwa wananchi wanahitaji nini. Maana ya mbunge ni mtu mmoja kuwasilisha mawazo na kero za wananchi anaowawakilisha.
Nawewe unayeshabikia kwa kuleta thead hii bila kufikirisha vyema akili ,tuliza akili acha uvivu wa kufikiri.