Zitto Kabwe awalipua wazungu!

Zitto Kabwe awalipua wazungu!

Nashindwa kukuelewa unapomtetea Mzungu aliekutawala kimabavu karne na karne na kukuibia maliasili yako! bila shaka una damu ya kizungu! huenda ama Mama ako ni Mzungu au Baba ndio mzungu!

Mimi simtetei Muarabu au Mzungu bali nazungumza kwa ushahidi kwamba kati ya Mzungu na Mwarabu ninani alietutawala Tanganyika? sasa Kama Zito Kabwe anawalaumu Wazungu kwa uthibitisho wa kutuibia mali zetu! wewe mbona unaigeuza issue hiyo kwa waarabu?

Si Zitto wala mtu yeyote atakayenifungia kwenye box la kuwaza anavyowaza yeye kwamba eti wezi wazungu ndio adui wa maendeleo yetu. Kama unataka kuongea suala la maendeleo uende kwa upana na ujadili kwa haki pasipokuwa na hidden agendas ama hila kama za Zitto.

Ukipata nafasi tuwasiliane kwenye private boxes tuanzishe threads mbili. Moja ilinganishe athari hasi na chanya kati ya ujio wa Wazungu na waarabu katika tanganyika. Usikubali kukaririshwa mambo.

Thread nyingine tujadili ubora na udhaifu wa utawala wa Wazungu na CCM. Siasa za kukariri bila kufanya analysis hazitufikishi tunapotaka kufika.
 
Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe mbunge wa Kigoma Kusini na Waziri Kivuli wa CHADEMA amewalaani wazungu kwa utapeli na uporoji mkubwa wanaoufanya dhidi ya Waafrika! nadhani umefika wakati kwa Serikali yetu kuamka na kua macho na Wazungu wote wanaoingia nchini mwetu kwani hawana nia nzuri na nchi yetu!

habari zaidi kuhusu hoja za Zito gonga hapa: Home

Hapa Zitto amechemka. Wanaowaibia rasilmali zenu sio wazungu bali ni walioko madarakani. It takes two to tango
 
I salute you Zitto Zuberi Kabwe!! My worry is what impacts will it have thereafter!! Do they real listened to you??

If therein is anything to salute ZZK, you will then need to salute many ****** in town.
 
Si Zitto wala mtu yeyote atakayenifungia kwenye box la kuwaza anavyowaza yeye kwamba eti wezi wazungu ndio adui wa maendeleo yetu. Kama unataka kuongea suala la maendeleo uende kwa upana na ujadili kwa haki pasipokuwa na hidden agendas ama hila kama za Zitto.

Ukipata nafasi tuwasiliane kwenye private boxes tuanzishe threads mbili. Moja ilinganishe athari hasi na chanya kati ya ujio wa Wazungu na waarabu katika tanganyika. Usikubali kukaririshwa mambo.

Thread nyingine tujadili ubora na udhaifu wa utawala wa Wazungu na CCM. Siasa za kukariri bila kufanya analysis hazitufikishi tunapotaka kufika.

Hakuna haja na sababu za kujificha! anzisha wewe na sisi Great thinkers tuko tayari kujadili hoja zako lakini ziwe na source...!
 
katika mijadala ya asubuhi ya kituo cha televisheni cha startv jumapili iliyopita, wageni waalikwa katika mjadala ule walimulalamikia mh.zitto kwa kukurupusha hoja ambazo anashindwa kuzisimamia.kudhibitisha hili ni kuwa katika bunge lililopita alisema atawataja walioficha pesa uswizi kama serikali haitawataja lakini wiki mbili zilizopita mh. Zitto amesikika kupitia startv hiyohiyo kuwa hatawataja.

Hatujakaa sawa anaibuka na habari za kuwalaumu wazungu kwa wizi. Njia bora ilikuwa mh. Zitto anahakikisha tunajisafisha sisi kwanza kwa kuwashughulikia wezi tunaowajua na kuziba mianya ya wizi kama mh.zitto alivyokuwa amenuia huko bungeni ndipo sote kwa pamoja tuwageukie wazungu wezi.

Kitendo hiki cha mh.zitto kuwarukia wazungu wakati hili la kuwashughulikia wezi wa ndani kinatoa tafsiri mbaya sana juu yake juu nia aliyokuwa nayo kuhusu tuhuma alizozitoa bungeni za pesa za wizi zilizofichwa uswisi, binafsi naona zitto anataka kutumia mwanya huu wa kuwashambuliwa wazungu kufifisha suala zima alililojiapiza kushiriki kulikabili yaani suala la watanzania kuficha pesa za wizi uswisi na kwingineko.

Zitto kuruka ruka na hoja ambazo azisimamii bado anazidi kudororesha imani ya raia wa tanzania kuwaamini vijana katika shughuli za kuikwamua nchi yetu kutoka kwenye lindi la matatizo mengi ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kadhalika.

Kwa mara nyingine namtahadharisha zitto aache mtindo wake huu wa kudidimiza nia ya watanzania ya kuwaamini vijana kuwa na uwezo wa kukwamua nchi yao kwani yeye bado anabeba taswira ya mwanasiasa kijana. Kama hawezi kujirekebisha basi ajiuzulu masuala yote ya siasa na aendelea na shughuli zake nyingine.



---mpigakelele


brother i think zzk is doing the right thing, one doesn't stop being on guard just because one thinks that he has to finish what he started. Zzk is a multi tasked politician who has the ability to handle several problems and issues at the same time. Also we should understand that it is these same mzunguz who have bribed the thieves who stashed the billions in swiss accounts. Zzk is going after all those involved aliyetoa rushwa na aliyepokea.
 
Tujisafishe kwanza wenyewe ndio tuwe na uwezo wa kukemea wanaotuchafua.......tunajua uchafu ulipo, tuna nyenzo za kuondoa uchafu huo yet tunapiga blala....!

Zitto > Puppet.
 
Amesema kweli wana Jf sema amependelea. Amerika, Waarabu na hao WAASIA wote lengo kummumiza Mwafrika. Na sasa wanataka kupanda mbegu ya vita kwa kuleta uchochezi wa nchi ipi bora kwa Afrika kuliko mwenziye. Tuweni makini na tuanze kujisafisha sisi wenyewe na Tubadilike halafu tuwazuie hao wanaoonekana kutugandamiza. Na hakikia hao hawaji ila kwa upumbavu na ujinga wetu na ubinafsi tulionao tunafikiri tunapata kumbe Tunapatikana.
 
safi sana zito hakika hakuna kama zito ndani ya chadema yupo makini sana sana
 
Amesema kweli wana Jf sema amependelea. Amerika, Waarabu na hao WAASIA wote lengo kummumiza Mwafrika.

Ukipata nafasi tuwasiliane kwenye private boxes tuanzishe threads mbili. Moja ilinganishe athari hasi na chanya kati ya ujio wa Wazungu na waarabu katika tanganyika. Usikubali kukaririshwa mambo.

Tatizo ni wageni,wala si wazungu pekee,kama alivyoainisha Zitto!je Mheshimiwa anataka kutuamini waarabu na waamerica ni watu safi na pia wanatupenda sana?

Tujaribu kuangalia tukio husika
Habari kamili....
Zitto ambaye ni
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema) na Naibu Kiongozi wa Kambi Rasmi ya
Upinzani Bungeni, alisema hayo wakati akihutubia mkutano wa masuala ya
ushirikiano wa uchumi kati ya Ujerumani na nchi za Afrika
...
...
Zitto alisema kuwa nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikiporwa maliasili zake na
baadhi ya kampuni za kimataifa kupitia ukwepaji kodi pindi zinapokuja kuwekeza
barani humo...
..Alitaka mataifa rafiki kama Ujerumani kusaidia mataifa ya Afrika
katika juhudi za kukataa uporaji unaofanywa na mataifa yenye sera kama za
Uswisi.
CHANZO: NIPASHE

Sidhani kama kwenye huu mkutano alitakiwa azungumzie kila kitu, amelenga yale anayoamini Ujerumani kama mwanachama wa umoja wa ulaya anaweza kusaidia
 
ameongea vizuri sana ila ni mambo yanayofahamika siku nyingi. Multinational companies ndio zinazonyonya nchi nyingi za ki Africa .... swali ni je sisi waafrica tunafanya nini kuzuia hayo yote?
 
Tujaribu kuangalia tukio husika


Sidhani kama kwenye huu mkutano alitakiwa azungumzie kila kitu, amelenga yale anayoamini Ujerumani kama mwanachama wa umoja wa ulaya anaweza kusaidia
O.k kwahiyo akienda Uarabuni atazungumzia masuala ya ugaidi na ufilauni!!
 
O.k kwahiyo akienda Uarabuni atazungumzia masuala ya ugaidi na ufilauni!!

Ni makosa makubwa sana kuhusisha uarabu na ugaidi, watu weusi tulibaguliwa kwa mda mrefu kwa notions kama hizi.
Iliaminika kwamba mtu mweusi hawezi fanya jambo lolote la maana au lenye kutumia akili na wengi waliamini hivyo.

Wajapani walipotumia kamikaze haikuwa ugaidi ilikuwa vita na hao wanaoitwa magaidi kwa sasa wanajiona wako vitani, tujiulize haya makundi yanayoitwa ya kigaidi viongozi wake walipata wapi mafunzo na yalikuwa na malengo gani?

Kumuona muarabu gaidi ni ubaguzi kama ilivyo ubaguzi wa aina nyingine yoyote

… any distinction, exclusion, restriction or preference based on race, color, descent, or national or ethnic origin that has the purpose or effect of nullifying or impairing the recognition, enjoyment or exercise, on an equal footing, of human rights and fundamental freedoms in the political, economic, social, cultural or any other field of public life. (l Part 1 of Article 1 of the U.N. International Convention on the Elimination of All Forms of Racial Discrimination)

Mimi binafsi sina mahaba na mzungu, muarabu wala mkoloni mweusi wote lao moja hakuna rafiki yetu kati ya hao.
 
Mimi binafsi sina mahaba na mzungu, muarabu wala mkoloni mweusi wote lao moja hakuna rafiki yetu kati ya hao.
Hapa nakubaliana na wewe nilichokuwa nakataa mimi ni kuwaona wazungu pekee kama maadui zetu wakati asilimia kubwa ya wageni ni maadui zetu.
 
  • Thanks
Reactions: KXY
Huu ni ubaguzi wa rangi. Sema nchi fulani na nchi fulani wanafanya haya, na sio wazungu! Unairudisheni dunia nyuma! Tatizo ni viongozi wetu wa vyama tawala kwenye Bara afrika.
 
Ni ujinga wenu wenyewe lakini mnabaki kulaani watu wengine!!!!!
 
Anawalipua wazungu na kuwaacha ndugu zake???? mmmmmmmmm!!!!!!!!!

attachment.php
 
Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe mbunge wa Kigoma Kusini na Waziri Kivuli wa CHADEMA amewalaani wazungu kwa utapeli na uporoji mkubwa wanaoufanya dhidi ya Waafrika! nadhani umefika wakati kwa Serikali yetu kuamka na kua macho na Wazungu wote wanaoingia nchini mwetu kwani hawana nia nzuri na nchi yetu!

habari zaidi kuhusu hoja za Zito gonga hapa: Home
Uporaji? We Zitto acha unafiki! Ni nani mporaji kati ya viongozi wetu na wazungu? Mfano rafiki yako Idrisa alipopora fedha za rada mbona hukupiga kelele! Na huyo katibu wa chama chako cha magamba kinachokupa kichwa anapopora meno ya tembo mbona hupigi kelele? Na mtoto wa huyo rais wako anayekupa kichwa anapopora mbona hupigi kelele. By the way kwani wazungu hutushikia bunduki? Mikataba kama ile ya madini si nyie mliipitia?
 
Mwl. Nyerere alikuwa anawaponda sana wazungu,lakini pia alikuwa anawaomba misaada.
 
Huyu mtoto zito atawasumbua sana kwani amezaliwa na unafiki 75%, atuambie kwanza walioficha hela uswisi na hao ndio wabaya wetu kwani wazungu hawawakabi, na kama angekuwa mkweli angezungumzia sheria za kimataifa ambazo naamini zilitungwa na wazungu pekee lakini hamna mwafrika kwa sasa anaepinga hasa hawa viongozi watu wenye shahada za ujinga
 
Back
Top Bottom