Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,989
Wewe Zitto ni nini haswa kimakupata hata kumpa huyo malaika jina Josina?
Si ukambatize kabisa.
Muislam mila yake ni Uislam.
Josina a.k.a Umm Kulthum
Wewe Zitto ni nini haswa kimakupata hata kumpa huyo malaika jina Josina?
Si ukambatize kabisa.
Muislam mila yake ni Uislam.
aha aha we bibi unadgjani dini itakupeleka mbinguni?matendo yako ndo ya muhimu.we ungekuwa rais ikullu ingekuwa msikiti
Sound good lakini kaka Zitto atambue kuwa, pamoja na mke wake kwenda kujifungulia kwenye hospitali ya hadhi ya juu.. Nadhani ni Sali int.
Bado walalahoi wanaowalipa marupurupu yote hawana uwezo wa kumudu gharama za matibabu, achilia mbali ukosefu wa dawa na miundombinu chakavu na finyu , bado ukosefu wa wataalamu wabobezi kama zilivyo hospital nyingine hapa mjini.
Suala la damu ni jambo dogo sana kulinganisha na huo mlima anaokutana nao mtanzana wa kawaida(80%of our popn)
Hospitali zote za Serikali zina taratibu ktk Huduma ya Damu salama kupitia Benki ya Damu.
Nadhani kwa Masaki hiyo itakuwa Private hospital ambayo sijui utaratibu wao kuhusu huduma ya Damu salama kwa wagonjwa
Hongera Mh Zito kwa kupata binti Mungu ampe mema ya nchi.
Hata hivyo hospitali nyingi damu unayojitolea sio hiyo anayopewa mgonjwa. Maana naambiwa damu ina mchakato mwingi sana hadi i
Muhimu kwa Zitto kwenye hii heroic tale is how he became 'have a go hero' when there was no one else to save the day; not to discredit is humane act.
Lakini kama mwanasiasa mwenye namba ya simu ya Kigangwala kwanini asingemtangiwa na kumwambia maajabu aliyojionea hospitali iliyo sajiliwa kutoa huduma ya afya aina 'blood bank' maana kama siyo yeye huyo Rahma uhai wake si ungekuwa tete sasa hivi na wangapi washapoteza maisha kwa sababu ya uzembe wa hiyo hospitali kushindwa kufanya balancing za flow zao za blood bank; if you ask me jamaa wanatakiwa watandikwe faini ya nguvu kwanza kabla ya mengine huu ni upuuzi usio kubalika kabisa.
Haya muhimu 'oh-no' awayataki wao wanataka kazi rahisi za kwenda kuangaika na kina Dr Mwaka na kupiga picha wamevaa track suits wanakimbia kupambana sijui na magonjwa yanayo epukika what a useless lot.
Umm Kulthum lingetosha.Josina a.k.a Umm Kulthum

Kama wewe ni mwanachadema sitakulaumu kwa kuliona suala la kutoa damu na kuokoa maisha ya mtoto!Mi nilifikiri kitu gani sijui.... Bwanamdogo kaishiwa Sera ameanza tafuta mileage kwa vitu vya kitoto!
wewe mama kwa udini unatisha. yaani muda wote hujifanya hakuna muislamu safi zaidi yako wewe.Ingekuwa hamna Rais kungekuwa na Khalifa.
Ha ha ha damu yake safiiiiiii....Kwani kulikua na ulazima wa kusema alicho fanya wengine ukimsaidia mtu inabaki kuwa siri yako
Acha unoko,Mi nilifikiri kitu gani sijui.... Bwanamdogo kaishiwa Sera ameanza tafuta mileage kwa vitu vya kitoto!
Hii stori yote ni kiki inatafutwa.
Mosi ni kuipaisha ACT na utaratibu wake wa damu. Kwamba yeye kawekwa sehemu sahihi ili atekeleze sera za ACT. Propaganda.
Pili ni kutuonyesha kuwa yu mzima maana kulikua na vijistori kuhusu huu ugonjwa wa kisasa. Kuna mtu au watu wanarushwa roho hapa.
Hata hivyo hospitali nyingi damu unayojitolea sio hiyo anayopewa mgonjwa. Maana naambiwa damu ina mchakato mwingi sana hadi ifae kutumika.
So km mtu yu salama, damu aliyotolewa huingia benki ya damu ya hospitali husika na kiwango hitajika hutolewa kwenye ambayo ni salama. Kwa hospitali iliyo Masaki nahisi ni ya kisasa sana kukosa benki ya damu. Wenye kujua wataelezea zaidi.
Tatu, kutujuza kuwa kapata mtoto. Wa kike na jina alilompa. Hapa mke anapewa airtime ili ainjoi kuzaa na mheshimiwa sana. Na wanasiasa wasio na watoto wanatandikwa bakora. Huenda mtoto anawekewa mazingira ya uceleb.
Nne, ujitanabaisha kuwa yeye ni mtu wa msaada. Kutoa tu damu kajimilikisha hadi huyo Rahma. Sasa ni dada yake Ummy.
Kuhusu wao ACT kujitolea damu kila Mei, vipi kuhusu wanachama wao ambao ni Mashahidi ya Jehova?
Yaani umeamua kuchafua jambo jema kwa chachu zako za kisiasa!!!Sound good lakini kaka Zitto atambue kuwa, pamoja na mke wake kwenda kujifungulia kwenye hospitali ya hadhi ya juu.. Nadhani ni Sali int.
Bado walalahoi wanaowalipa marupurupu yote hawana uwezo wa kumudu gharama za matibabu, achilia mbali ukosefu wa dawa na miundombinu chakavu na finyu , bado ukosefu wa wataalamu wabobezi kama zilivyo hospital nyingine hapa mjini.
Suala la damu ni jambo dogo sana kulinganisha na huo mlima anaokutana nao mtanzana wa kawaida(80%of our popn)
Acha ujinga wewe,huoni kuwa jamii yetu inawahitaji watu km hawa??Mi nilifikiri kitu gani sijui.... Bwanamdogo kaishiwa Sera ameanza tafuta mileage kwa vitu vya kitoto!
Kwa mtaji huo wanaokwenda hospitali kutokea kwenye ajali na wamepoteza damu nyingi chances zao za kupona ni ndogo sana.Mkuu hivi unajua upatikanajinwa damu jinsi ulivyo?
Mara yako ya mwisho kuchangia damu wewe kama wewe ilikuwa lini?
Na je kama hukuwahi kuchangia unategemea damu zitoke wapi?
Waziri has nothing to do na kukosekana kwa damu hospitali.
Mkuu wacha nikueleze process ya kupata damu ilivyo;
Mgonjwa akigundulika anahitaji damu ninyi ndugu zake mnapewa form mnakwenda damu salama
Huko mtafanya donation na baada ya hapo kuna risit mtapewa ndo muirudishe hospitali.
Hospital wanachukua hiyo risiti wanaenda nayo damu salama kwnda ku-demand damu ya huyo mtu wakiwa na uhakika ndugu zake wamedonate.
Tatzo kubwa lililopo ni kwamba watu hamtaki kuvolunteer thus why damu zinakosekana.
Aisee yaani siwaelewi watanzania wenzangu kbs,hili ni jambo kubwa mno binafsi limenigusa big up Zitto Zuberi Kabwe Mungu akuongezee maisha marefu na familia yako,wewe ni mfano wa kuigwa ktk jamiiAcheni ushabiki wa kijinga!
yaani damu imeokoa maisha ya mtu then unakurupuka tu na kusema ni jambo dogo?
tutangulize uhai mbele, panapo stahili pongezi na tupongeze.
Zitto katimiza wajibu wake