Zitto Kabwe anena haya kuhusu ESCROW

Zitto Kabwe anena haya kuhusu ESCROW

This is what makes you great! What you and your team did demonstrated extraordinary patriotism and now, by the grace of God we are alive to see the rewards. We are proud to have a leader of your caliber and we are forever greatful for it. Much respect!!
 
Ivi kati ya hao uliowataja nani alieinjinia hii ishu, yaani nani alie ianzisha na kuishikia kidedea
Unauliza swali wakati andiko limefafanua kila kitu. acha siasa kwenye mambo ya kitaifa
 
Dhuuu; na kama itakuwa ilikuwa hivi, na kwa ugumu namna hii!! Inamaana yapo mengi sana ambayo yanastahili kupewa msisitizo, mkazo, ushirikiano, na ujasiri ili tuyajue na yafichuke. Hapa nimejifunza jambo, mbunge ama gazeti wanaweza kufichua uovu na uozo mkubwa sana wa ufisadi, lakini ili wananchi waweze kuelewa na kuwasapoti inahitaji nguvu kubwa, na kutokukata tamaa kwa kuwa huwa ni vita.
 
Duh si mchezo, binafsi nilihisi toka zamani kuwa Kuibuliwa na kufanikiwa kwa Maazimio ya bunge dhidi ya ESCROW kuna brainpower kubwa sana nyuma yake.

Viva Kafulila
Viva Zitto
Viva Marehemu Deo
Viva Kigwangwallah
Viva Mpina
Viva Lissu
Viva Mbowe
Viva Lugula
Viva Makinda
Viva ndugai
Viva Slaa
Viva Nape
Viva Kinana
Viva watanzania wote wapenda nchi yao.
 
Andiko hili limenikumbusha Willy Gamba ktk ile riwaya iitwayo Njama kama ilivyoandikwa na RIP E. Musiba. Riwaya za wakati ule zikiwemo Kikosi cha Kisasi na Hujuma ziliwapa sana vijana ujasiri!
Nawe huo ni uandishi gani wa ku- quote makala ndefu kama hiyo!!
 
Duh si mchezo, binafsi nilihisi toka zamani kuwa Kuibuliwa na kufanikiwa kwa Maazimio ya bunge dhidi ya ESCROW kuna brainpower kubwa sana nyuma yake.

Viva Kafulila
Viva Zitto
Viva Marehemu Deo
Viva Kigwangwallah
Viva Mpina
Viva Lissu
Viva Mbowe
Viva Lugula
Viva Makinda

Umesahau Viva Jk

Sasa hivi kuna mwny Ubavu wa kutumia Bunge kuihoji Serikal ya Rais wa Wanyonge?
 
Dhuuu; na kama itakuwa ilikuwa hivi, na kwa ugumu namna hii!! Inamaana yapo mengi sana ambayo yanastahili kupewa msisitizo, mkazo, ushirikiano, na ujasiri ili tuyajue na yafichuke. Hapa nimejifunza jambo, mbunge ama gazeti wanaweza kufichua uovu na uozo mkubwa sana wa ufisadi, lakini ili wananchi waweze kuelewa na kuwasapoti inahitaji nguvu kubwa, na kutokukata tamaa kwa kuwa huwa ni vita.
Katika hayo mafunzo pia usisahau kuwa wabunge na vyombo vya habari wanatumiwa kama bar maid wanavyotumika na walevi. wakija mtaani wanajifanya waaminifu kumbe ni unafiki mtupu
 
Duh si mchezo, binafsi nilihisi toka zamani kuwa Kuibuliwa na kufanikiwa kwa Maazimio ya bunge dhidi ya ESCROW kuna brainpower kubwa sana nyuma yake.

Viva Kafulila
Viva Zitto9omy

Viva Marehemu Deo Filikunjombe
Viva Kigwangwallah
Viva Mpina
Viva Lissus
Viva Mbowe
Viva Lugula
Viva Makinda

Sasa nimegundua ile ajalli ya helicopta iliyokatiisha uhai wa Deo surely it was a planned accident!!!!!!!Don quote me, ninaota tu!!
 
Back
Top Bottom