Zitto Kabwe anena haya kuhusu ESCROW

Pole mhe Zitto na wenzako kwa kujitoa kiasi hicho. Lakini pokeeni hongera nyingi kwa kuwa mliifanikisha kazi yenu ngumu. Kafulila anastahili pia kukumbukwa sana ktk sakata hili. Amefanya kila awezalo na amepitia na kuvumilia kila aina ya madhila.
 
Mimi kwenye hii kesi sioni kama serikali itashinda maana ina mkanganyiko mkubwa kuliko Mlima Kilimanjaro.
Sasa shangaa ilivyohamishwa kutoka makinikia mpaka sethi na ruge ambao ni private citizens na hawakuwa kwenye chain ya decision making process, hawa walikuwa njia tu au km ile kesi ya maigizo ya mahalu na mkapa na sasa kikwete na hawa wazee.
 
Deo alikuwa assassinated?

Kwa maelezo haya, kwa kumbukumbu ya Deo, lazima atafutwe ni nani huyu alihusika kum-assassinate kijana wetu mpambanaji DEO? kwa kuunda tume au kwa umafia kama huu huu alio uelezea ZZK. Inauma na haikubaliki.
 
Andiko hili limenikumbusha Willy Gamba ktk ile riwaya iitwayo Njama kama ilivyoandikwa na RIP E. Musiba. Riwaya za wakati ule zikiwemo Kikosi cha Kisasi na Hujuma ziliwapa sana vijana ujasiri!
Mkuu hizi naweza zipata wapi,nakumbuka nikiwa darasa la tano nilibahatika kusoma hicho kitabu,tangu hapo sijawahi kukiona,
 
Andiko hili limenikumbusha Willy Gamba ktk ile riwaya iitwayo Njama kama ilivyoandikwa na RIP E. Musiba. Riwaya za wakati ule zikiwemo Kikosi cha Kisasi na Hujuma ziliwapa sana vijana ujasiri!
Mkuu usipende kuquote uzi mrefu kama huo sio poa mnatuchosha wenzenu
 
This is what makes you great! What you and your team did demonstrated extraordinary patriotism and now, by the grace of God we are alive to see the rewards. We are proud to have a leader of your caliber and we are forever greatful for it. Much respect!!
Tumekuelewa ila kwa nini unaquote uzi mrefu kama huu?
 
Lakini mbona mnazidi kumuweka baba riz uchi. ..mshaambiwa mwacheni mstaafu aka waziri kivuli wa mambo ya nje apumzike
 
ZITTO, YOU ARE HERO.
Ni ngumi kwa mtu wa kawaida kujitoa kafara as what you and your team did.

Kungekuwa kuna kampuni mbili zinashindana, obviously watu wangesema umepokea pesa pande pinzani.

BIG UP ZITTO AND YOUR TEAM.
Magufuli anameza kile mlichotafuna nyinyi.
 
Back
Top Bottom