Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,575
Yamekuwa hayo tena!!!!!....kweli tuna kazi ya ziada, kuwasaidia watu kama wewe, mtoke kwenye hilo giza la fikra. By the way pole sana ndugu yangu.
Ngoja nivae miwani ya mbaoNa hutaelewa
Mkuu nasikia Tanzania Ina vichaa wengi kwahiyo usishangae SanaYamekuwa hayo tena!!!!!....kweli tuna kazi ya ziada, kuwasaidia watu kama wewe, mtoke kwenye hilo giza la fikra. By the way pole sana ndugu yangu.
Mkuu nasikia Tanzania Ina vichaa wengi kwahiyo usishangae Sana
Yaani unahisi tu lakin unatoa lugha chafu.Alipotoa tu tamko lake kuhusu kushuka kwa bei ya korosho hofu ikanishika kuwa huenda zao likaingia kwenye msukosuko safari hii. Jambo kubwa lililonifanya nipatwe na Mashaka na ZITO kabwe ni kuwa ametangaza kushuka kwa Korosho kwenye soko la dunia mapema sana, palikuwa na muda mrefu tu ambao ungeweza kuleta mabadiliko ya soko lakini alijitokeza na kushupalia kana kwamba bei hiyo ni Fixed.
Sijawahi kumuona Zito akiwa mstari wa mbele kuizungumzia korosho katika zama ambazo hapa kwetu korosho iliuzwa bei ndogo huku soko la dunia ikiwa bei kubwa Mara hii amejitokeza mapema sana baada ya misimu miwili kupita ikiwa ya neema kubwa kwa wakulima. Hili linanipelekea kuhisi kuwa Zito kuna maslahi anayapata kutoka kwa baadhi ya makampuni ya korosho ambayo yanapunja wakulima.
Hii inanifanya nihisi kuwa zito hana tofauti na kile kikundi ambacho kimefanya hujuma ya Kuweka kokoto kwenye magunia ya korosho. Amesimama kidete kudai pesa za Exp. levy ambazo kwa kiasi kikubwa hazikuwa zikimnufaisha mkulima na ni BORA MUHESHIMIWA RAIS AMEAMUA zirudi hazina.
Zito ni KIRUSI.
HahahaZile takwimu za kila watu wanne mmoja Ni kichaa kumbe Ni za kweli
Maana mtoa unaonekana kuwa na dalili zote za ukichaa
Hata mimi sijaelewa!Sinaelewa hata kidogo ulichokiandika
Wala hatakuelewa. Yaani matatizo wanayoyasababisha wao wanatafuta wa kumuangushia jumba bovu.Zitto ndio soko la dunia kwamba akitangaza bei ishuke basi inashuka? Kwakuwa Zitto sio mnunuaji wa korosho, ni vyema serekali inunue kilo 5,000@ kisha ikaiuze huko nje ili Zitto aaibike.
Swadaka kabisa jibu mujarabu watu mama hao akili sijui huwa wanashikiwa mambo yapo wazi kabisa ila anataka kuleta siasaKwa hiyo unataka kutuambia kuwa Zito asingesema alichosema wafanyabishara wasingejua kuwa bei ya korosho imeshuka kwenye soko la kimataifa?
Social media accounts za Zitto ziko verified yuko na followers wengi ndani na nje ya TzAlipotoa tu tamko lake kuhusu kushuka kwa bei ya korosho hofu ikanishika kuwa huenda zao likaingia kwenye msukosuko safari hii. Jambo kubwa lililonifanya nipatwe na Mashaka na ZITO kabwe ni kuwa ametangaza kushuka kwa Korosho kwenye soko la dunia mapema sana, palikuwa na muda mrefu tu ambao ungeweza kuleta mabadiliko ya soko lakini alijitokeza na kushupalia kana kwamba bei hiyo ni Fixed.
Sijawahi kumuona Zito akiwa mstari wa mbele kuizungumzia korosho katika zama ambazo hapa kwetu korosho iliuzwa bei ndogo huku soko la dunia ikiwa bei kubwa Mara hii amejitokeza mapema sana baada ya misimu miwili kupita ikiwa ya neema kubwa kwa wakulima. Hili linanipelekea kuhisi kuwa Zito kuna maslahi anayapata kutoka kwa baadhi ya makampuni ya korosho ambayo yanapunja wakulima.
Hii inanifanya nihisi kuwa zito hana tofauti na kile kikundi ambacho kimefanya hujuma ya Kuweka kokoto kwenye magunia ya korosho. Amesimama kidete kudai pesa za Exp. levy ambazo kwa kiasi kikubwa hazikuwa zikimnufaisha mkulima na ni BORA MUHESHIMIWA RAIS AMEAMUA zirudi hazina.
Zito ni KIRUSI.
Duh!Sidhani hata kama umeelewa ulichoandika wewe mwenyewe. Sijui kama kuna shida ya coordination kwenye ubongo wako na vidole vyako? Yani unapobonyeza, ubongo unafahamu kwa usahihi kabisa?Jambo kubwa lililonifanya nipatwe na Mashaka na ZITO kabwe ni kuwa ametangaza kushuka kwa Korosho kwenye soko la dunia mapema sana
Zito ni KIRUSI.
India na Vietnam.Tatizo lenu nyinyi mlio wengi najua kusoma lakini hamsomi, mnajua kuandika lakini mnaandika mawazo yetu na udaku. Mhe. Zitto, anajua kusoma na ansoma kweli kweli, anajua kuandika na anaandika kwa manufaa ya ubinadamu kwa kufuatilia masuala. Nikikuuliza swali dogo, unajua soko la dunia la korosho liko wapi hasa?