Elections 2010 Zitto Kabwe anaongoza Kigoma Kaskazini

Obviously Zitto angeshinda ila ilikuwa ni matter of percentage, wether 90%, 80% or 90.8%.
 
Hongera sana ZK. Tunasubiria mavituuuuuuuuus mjengoni, kuna makamanda wengine wapya wanakuja nyuma - Sugu, Vicent Nyerere, Mnyika - hakika waTZ tutapata burudani ya kutosha.
 
Back
Top Bottom